Asante sana mkuudaah mzee umechambua kikamilifu sana,kula gwara
WEWE PIA UNACHAPIWA NINI MZEE MWENZANGUSiku hizi wanachapwa tu hata kama una sifa zote hizo.wamepagawa sana wanawake wa siku hizi mkuu
Mume jf[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]tatizo humu mnajifanya mnajua watu saana.????? tena unachapiwa tu sio bure bovu hilo
Kama unaona n vzur na mwanao atatumiwa na kuachwa hvyohvyo wht goes around comes aroundNa hawapatikani kamwe,wengi tunapenda kutumia na kuacha,pia pesa haitoki kirahisi labda wanaume wasiojitambua
Inaitwa duniaNyie watu nyie,,, hata mpewe kiasi gani kwa matumizi ya mwezi hamridhiki hata akiwepo wa hizo 1,2,3 ulizozitaja utatamani awepo mwenye character 4,5 6......1000 na kuendelea, sijui mmezaliwa sayari gani nyie!!!