Mwanaume kama huna hii full package, kuchapiwa ni lazima

Mwanaume kama huna hii full package, kuchapiwa ni lazima

Yan # 2 ndo mwakeeeeeeee[emoji389]
 
Dunia ya leo pesa inaburuza mapenzi. Demu anataka kushiba, kuvaa vizuri na kunukia vizuri. Bila kusahau alale pazuri. Upendo hufifishwa na ukosefu wa haya mambo.

Yaani demu ana njaa halafu katokea mshefa anamtoa buku kumi akatae kisa anakupenda?

Demu ana kiatu cha mwaka juzi, mini sketi yake imefubaa kwa kuwa imevaliwa miaka 5 bila kubadilishwa. Halafu inatokea mshefa anampeleka boutique akatae kisa anakupenda?

Kakuomba pesa anunue simu mpya au ahame kutoka tochi kwenda touch, ama ahame toka yenye rubber band kwenda kwenye self bound. Ni miezi 6 sasa imepita unapiga danadana. Akitokea mshefa anam-help akatae kisa anakupenda?

Unamlaza kwenye godoro ulilotumia o level, umehama nalo kwenye vyuo vyote ulivyosoma. Limechakaa na lina uvundo wa kila aina. Atokee mshefa kampeleka geto kuna godoro jipyq subwoofer mpya vipafyumu vya rungu kwa mbali akatae kisa anakupenda?
Hahahahaha hakuna anayependa shida
 
Waache wachapwe tu kah! Tumechoka maana hata ukifanya vyote hivyo bado ataona kuna upungufu haufanani na ex-wake, waache wachapwe tu kwani k si zao bwana
 
Hii nayo kali!!! Huyu alikuja anatafuta mume. Sahivi anashauri namna ya mume? Acheni masikhara mapenzi hayana formula kila mmoja na style yake sababu tunatofautiana mahitaji. Wewe bado hujajua maana ya mume ama mke. Endelea kwanza kutafuta siku ukiingia kwenye anga halisi ndo utajua tofauti ya mume na mke. Endelea kuchuna tuu.

Formula za mapenzi hazipishani na zile za kwenye hesabu.
Mfano + unaongeza mpenzi
- unaachana au hauna mpenzi,

* mke na mme wanakuwa na patner wengine (michepuko)

/ mmoja kati ya mme au mke anakuwa na michepuko ili hali mwingine yupo constant.
 
Human beings, who are almost unique in having the ability to learn from the experience of others, are also remarkable for their apparent disinclination to do so.
 
Hii nayo kali!!! Huyu alikuja anatafuta mume. Sahivi anashauri namna ya mume? Acheni masikhara mapenzi hayana formula kila mmoja na style yake sababu tunatofautiana mahitaji. Wewe bado hujajua maana ya mume ama mke. Endelea kwanza kutafuta siku ukiingia kwenye anga halisi ndo utajua tofauti ya mume na mke. Endelea kuchuna tuu.

Mvumilie tu, ndio dada zetu hao wa siku hizi wanajifanya wanajua sana.
Sasa Kama bado ana akili ya kutaka kuchuna buzi unategemea nini?!
 
Topic nyingine zinakatisha tamaa ya mahusiano kabisa yaani ,
 
Kila mwanamke ili atulie kabisa,anaitaji wanaume wa aina tatu.
1.Anaeujaza moyo wake,yaani hata akinywa maji anamuona mwanaume anaempenda yaani wanaita true love wake

2 .Mwanaume muhongaji wenyewe wanaita buzi yaani buzi linaclear majanga yote incase of emergency miamala inasomeka fastafasta Mpesa ATM etc.

3.Mume wa kumuweka ndani na kulea watoto wa kumpa home nadhani naeleweka kila mwanamke anatamani ajulikane nae kwa mama fulani kwa mama fulani kutokana na hali ya maisha inakuwa ngumu mwanaume mwenye sifa zote hizo kupatikana akipatikana namba moja utakuta hana hata mia na mpango wa kuoa hana wala nini.

Akipatikana namba mbili unakuta hapendwi wala sio muoaji ila na mtu kukataa misaada na hali ya uchumi ilivo nayo sio rahisi akipatikana mume nae unakuta majanga hapendwi mtu kaamua kuolewa tu umri unasonga nk, ila hela hana hata ada ya watoto ni kwa msaada wa vicoba kwa jina la mama inabidi tu mama awe na namba mbili,buzi la kumsaidia.Nawashauri wanaume mjipange sana mkiwajibika wanawake wote watatulia hawatakuwa michepuko tena ni aibu sana baba upo ndani na mkeo kumbe ni mchepuko wa mtu!

Wekend njema jamani.Ramadhan kareem!
hata uki provide vyote hivo ikiwemo mgegedo mkali bado tu kuna wengine watakumbuka nje na kuchepuka
 
Hivi mwanamke kogongwa nje mnahisi ni huwa mnakomoa mtu amaa? Maana ishakua fashion.. Ila mwisho wa siku mwili ni wako mwenyewe... Wajikomoa mwenyewee
 
usipoteze muda wako kumuwazia mwanamke kuwa anataka nini ilhali yeye mwenyewe hajui ni nini akitakacho ili atulie...

Ni kheri uwaze pesa na imani yako kuliko kupoteza muda kuwaza kuwafikisha kileleni wanawake wasioongeza thamani katika maisha yako....

mama yangu ni wa kipekee maana yeye kwangu si mwanamke tu bali ni mungu mtu....
kwa wengineee....sorrryyyyy
WELL SAID.. EM AGIZIA BAPA NTAKUJA KULIPAAAAA
 
Back
Top Bottom