Siku moja kaingia bwana mkubwa mmoja anasema anaumwa sehem za siri
Nikamtizama yupo kama huyo sokwe (micropenis) nikamuuliza naona una maumbile madogo je hii ndio concern yako ilokuleta hospital?
Patient; Hapana daktari shida yangu ni uume wangu nmeamka umevimba