CORAL
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 2,813
- 1,827
kaka sijakubali nimekataa kabisa manake najua mapenzi yenye incetives yana mwisho mbaya. ila hanielewi hadi kamuondolea mpenzi wangu amani yake. hivi mwaname kama huyu unamweka kundi gani?
Ni kawaida ya wanaume waliofilisika kimapenzi. Anahitaji ushauri nasaha jinsi ya kumtongoza mwanamke na kukubali matokeo ya kukataliwa.