kaka sijakubali nimekataa kabisa manake najua mapenzi yenye incetives yana mwisho mbaya. ila hanielewi hadi kamuondolea mpenzi wangu amani yake. hivi mwaname kama huyu unamweka kundi gani?
Nashindwa kuamini, hivi kweli mdada wa leo ahongwe gari achomoe!
Ngoja niwaachie wenyewe, lakini mimi naona ni ngumu kumeza.....................................
hiyo haiwezekani mtambuzi, lakini wanawake wa jf watapinga mpaka kesho swala hili
Samahani nimekuhukumu masikini...........Nakubaliana na wewe wapo wasichana wachache sana, narudia tyena wachache sana wenye moyo kama wako, lakini wengini ...lo lo lo lo ni kanyaga twende, kuhongwa gari ni gia moja tamu sana kwa wanaume wakware kuwanasa wanawake kirahisi na unahongwa gari lakini kadi huioni, akikupata anakuchezea kisha anakupiga chini na gari anakupoka........................kaka yangu sijui niseme si kwamba nina shida sana na gari ishu je nikubali kupokea gari halafu hatma yake ni nini? je huyu ambaye ni wa moyoni mwangu namfanyaje? kama je sijamjaza moyoni nimkubali tu kisa gari? nasema kweli jamani tena kanikera sana kwa vitisho anavyovitoa kwa mpenzi wangu.
hivi hapo hajanioa siku ukiingia ndani na jitu kama hili si ndo utakoma? money isnt every thing
Wengine wanadai eti nimekuwa bias.............Hahah chezeya wanawake wa JF weye?
ahsante mwaya miye nimemweleza kila kitu mpenzi wangu ila sasa haniamini anaona kama naweza kubadilika mawazo lakin mimi siko hivyo najijua sipend kunyanyasika
Wengine wanadai eti nimekuwa bias.............
Nashindwa kuamini, hivi kweli mdada wa leo ahongwe gari achomoe!
Ngoja niwaachie wenyewe, lakini mimi naona ni ngumu kumeza.....................................
wewe kama umekubali kuhongwa na kupokea zawadi
kitumbua lazima kiliwe by any means necessary
hutaki kuliwa,usile....
Kwa kweli manshiroo una kazi kubwa ya kumwondoa wasiwasi mpenzi wako. Jitahidi kuwa naye karibu hata kwa simu, mhakikishie kuwa huna mpango na huyo hayawani. Fanya hivyo mara kwa mara hadi akuelewe.
Yaani ile acceptance ya gari tu, tayari kakubali. Utapokeaje via watu hafu ujidai unachomoa?
Hahah chezeya wanawake wa JF weye?
hata hivyo doreen mtu kama huyu ukimchuna mbona ni dhambi tu? manake mimi nilimuuliza mmbona hajaoa kasema alitengana na mkewe halafu akaoa tena akatengana wewe wadhani hapo kuna usalama?
:A S-confused1:Aisee....!
we dada si kwa ubaya, ila na wewe u sound mzinzi kwangu! ulifuata nini kwenye mahoteli makubwa kama hukuwa na nia naye? sawa ulikuwa unamchuna, lazma koni ulilamba hata kama hakukula! mmmhhhh uongo mwingine mkatafute wa kuwadanganya, we r ol grown ups hapa! lol!Hivi wanaume wanaaomba penzi na kukataliwa kisha kuchukua uamuzi wa kumtafuta mtu ambaye ni mpenzi wako na kumpiga mkwara kwamba achana na binti/mwanamke fulani kwani ni demu wangu wanakauwawaga anawaza nini? ama je ka wanaojua watawaweka kundi gani?
manake utakuta mtu anahonga hadi gari na kupiga outing za mahotel makubwa lakin binti unakataa sasa anaona pesa yake bado haijakuconvice anaamua kutumia njia ya kuwasiliana na yule wa moyo wako ili akuharibie ivi wanakuwa wamelogwa ama ni wazima wa akili? au je ni kwamba mtu ukiwa na hela basi mwanamke avutike tu na wewe? Jamani niliye naye hana hzo hela zako ila kweli sikutaki na kama ukohumu ujue tu sikupendi hela yako ikawanunue wengine mimi na huyu wangu basiiii.
nawasilisha.............
mmmhhhhhh hii case looks familiar kwangu! mmmhhhh....................! aisee! haya nawatakieni usiku mwema bila kuweweseka!ndugu yangu ningetaka kutembea naye ningefanya hivyo ila ya nini? hivi mtu ni divorcee two times miye nakwenda hapo kutafuta nini? sawa umasini wangu napaki nao na mpenzi wangu, kwani hata hivyo tumeridhika na tuna amani sana kuliko kwenda kuingia kwenye maisha yenye manyanyaso na tabu kisa hela
ndugu yangu hapando penye tatizomanake mpenzi wangu anaona kabisa kwamba nina msaliti lakin sijawah hata siku moja na nilimwambia kuwa yeye ni mwanaume wa pili kuwa naye aliyetangulia mmoja na huyu ni wapili sina mpango wa kuwa na mahusiano mengine tena nampenda sana ila ka ujuavyo wanaume wengi wanaunga maistari hat kama siku uliaga safari ya ghafla tu ana connect kwamba nilikwenda kwa huyu bazazi kweli nimemchukia sana huyu mkaka na ni bora angeniambia mimi kuliko kutumia email mpanzi wangu kuharibu mahusiano yetu
remmy sikuchukua chochote cha huyu mkaka zaid ya kwamba nilitoka kula naye lunch nikiw na rafiki yangu mwingine mdada. na hii ilikua ni mara moja tu.