mwanaume kama huyu ni wa kundi gani....................

na wewe utakuwa ni mpuuzi,utakulaje pesa au kukubali kuhongwa na mtu ambaye huna mpango naye.wote mnakuwa hamjatulia. Wacha akuhafulie.
 
Wanaume wanaamini wakishakua na pesa wanaweza kununua kila kitu na ikitokea ikashindikana despite of all efforts, hua wanakua kama wamechanganyikiwa vile!!

Hii inatoka kwa wanawake wenyewe!
 
Wanaume wanaamini wakishakua na pesa wanaweza kununua kila kitu na ikitokea ikashindikana despite of all efforts, hua wanakua kama wamechanganyikiwa vile!!

Hii inatoka kwa wanawake wenyewe!
 
Nashindwa kuamini, hivi kweli mdada wa leo ahongwe gari achomoe!
Ngoja niwaachie wenyewe, lakini mimi naona ni ngumu kumeza.....................................

Magari yenyewe ya kuchakachua kadi na kukodisha kwa washkaji wao, akipiga mkwaju tu limeshanyang'anywa ha ha..wajinga ndiyo waliwao!!
 
bidada hivi kukaribishwa lunch ni kosa? nafikiri ili kuonyesha your maturity unatakiwa uende you talk baada ya hapo ndipo akili inakuwa kumkichwa. na mbona ndio stail ya mjini watu tunatolewa lunch na dinner lakni si kwa sababu ni wapenzi ni friends tu. wewe hujawah kutoka kwenda sehem yeyote na watu ambao ni friends tu? this is normal to me ila unapoleta mtongozo ukipigwa chini nategemea nidham iwepo na si kwenda kuanza kumtukana mpenz wangu.
 
mmmhhhhhh hii case looks familiar kwangu! mmmhhhh....................! aisee! haya nawatakieni usiku mwema bila kuweweseka!

kwani alihsawah kukutafuta huyu mkaka?.........................nafikir ndio tabia yake asee................
 
Ulieleza habari za kuhongwa magari.

hebu rudi kasome post yangu upya? unless kama nimetumia tungo tata ila kwangu mimi ni kwamba alipropose nikagoma akaona kibajaj changu ni kagari ka kimaskini. anyway hiizi ni njama tu za wanaume wenye kujua pesa can buyu a woman ila sijui tu nimuweke kundi gani mwanaume kama huyu
 
ndio hadi umtumie email mpenzi wa mtu? kweli hela yako can talk to such extent? eti unasema nakununulia british car.....kweli mimi na mpenzi wangu tumeshazoea bajaj ya kukodi kweli is it fair?

hiyo email ya jamaa yako aliipata je? Na namba ya simu vilevile ilipatkana je? Wew mwenyewe ulijrais akajua weekness za jamaa ako ndo maana anampga mkwara.mim nikijua msichana flan anapendana na sam1 nitaanza je kumpgia mwanaume wako.jiulize huyo mwanaume amepata wapi nguv ya kumpga mkwara jamaa yako
 
Hajakuonga kisawa sawa huyo kama anazo na akikuhonga kweli utatoa tu na huyo bwana ako utamsahau kabisa hata kumtukana bwana ako utaweza pindi utapoona kila match jamaa wa kuhonga anasimamia #Moneytalkssoloud
 
mmmhhhhhh hii case looks familiar kwangu! mmmhhhh....................! aisee! haya nawatakieni usiku mwema bila kuweweseka!
1 + 1 = 11. :hat:
 
Wewe mwanamke njaa! Kwanini usikatae hizo offer za mahotel makubwa mapema? Hakuna kitu cha bure duniani hilo utambue mapema kabisa. Mtu unakwenda kutanua na mwanaume mwingine kwenye hayo mahotel makubwa ingali unajua una mpenzi wako wa moyoni (kama unavyodai wewe, japo sikuamini)......type ya wanawake kama wewe mara nyingi ni vicheche.

mmmhhhhhh hii case looks familiar kwangu! mmmhhhh....................! aisee! haya nawatakieni usiku mwema bila kuweweseka!

wewe kama umekubali kuhongwa na kupokea zawadi
kitumbua lazima kiliwe by any means necessary
hutaki kuliwa,usile....

hiyo haiwezekani mtambuzi, lakini wanawake wa jf watapinga mpaka kesho swala hili

Kwa kweli manshiroo una kazi kubwa ya kumwondoa wasiwasi mpenzi wako. Jitahidi kuwa naye karibu hata kwa simu, mhakikishie kuwa huna mpango na huyo hayawani. Fanya hivyo mara kwa mara hadi akuelewe.

Yaani ile acceptance ya gari tu, tayari kakubali. Utapokeaje via watu hafu ujidai unachomoa?

we mpe tu akate kiu, ndio ataacha kukusumbua..shida yote ya nini mwaego? hata huyo mpenzi wako unajua mustakabali wake? unajua anamega wangapi?

Pole sana dada, lakini naamini hiyo ni dhoruba ya muda tu ya penzi lenu.

na wewe utakuwa ni mpuuzi,utakulaje pesa au kukubali kuhongwa na mtu ambaye huna mpango naye.wote mnakuwa hamjatulia. Wacha akuhafulie.

mmmmh!nina wasiwasi we dada ulionyesha kumpa mahope huyo jamaa.

Magari yenyewe ya kuchakachua kadi na kukodisha kwa washkaji wao, akipiga mkwaju tu limeshanyang'anywa ha ha..wajinga ndiyo waliwao!!

kwani alihsawah kukutafuta huyu mkaka?.........................nafikir ndio tabia yake asee................

Hajakuonga kisawa sawa huyo kama anazo na akikuhonga kweli utatoa tu na huyo bwana ako utamsahau kabisa hata kumtukana bwana ako utaweza pindi utapoona kila match jamaa wa kuhonga anasimamia #Moneytalkssoloud
Huyu manshiroo anawazengua tu. Inaelekea anaweweseka sana kwa wanaume. Kuna thread aliitoa hapa mme wake hampendi na alishawahi pendwa na mshefa mwingine huko Arusha.... Hebu someni hii link hapo chini na MSTUKE!!

https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/286521-hivi-inawezekana-ama-ni-kwangu-tu.html
 
Aaaah! Kumbe ndo huyu nilikua sijashituka, nilipata isoma hii thread. Nadhani hapa anajifanya kumtolea nje huyo bwana wa arusha akati mara ya kwanza aliadmit kuanza kumpenda. Kama alidata kwa kufunguliwa mlango wagari tu habari gani kupelekwa ma 5star hotels na kuhongwa gari? Lazima ataachia tu asitufanye watt hapa.
 
sasa nakushukuru sana kwa kuniletea hiyo ink hapo. mtu huyu huyu ndiliyeomba ushauri hapa jamvini ndiye ambaye bado ananisumbua sana haya wewe unamweka kundi gani?
 
Sio vizuri kupoke gift kutoka kwa mtu usiyemfeel,unakubali kutoka nae kwenda matembezi,baadae mnakamua msosi mgahawa wa nguvu,then akiomba mchezo unamrusha.not fair atall.vyake wataka,wewe utaki kutoa mhhh!
 
i mean what am saying aisee tena namshukuru sana Mr Rocky kwani alikuwa maada wangu sana wakati wa yale majaribu hadi nikafikia kumwambia kwamba simtaki lakini kinachonishangaza ni kwanini hakubalimatkeo ya kutokukubaliwa? sijakubalaia kuzini naye despite kwenda naye lunch sasa kwanini aone niliye naye hafai hadi amwamabie kwmba anatembea na mimi? hivi mtu kama huyu unamweka kundi gani?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…