Mwanaume kama ulikuwa mbali na mkeo, katika kipindi hiki cha likizo fanya hivi

Mwanaume kama ulikuwa mbali na mkeo, katika kipindi hiki cha likizo fanya hivi

naliwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2013
Posts
485
Reaction score
1,074
December hii najua tulio wengi tupo nyumbani na familia zetu

Nawajuza kama ulikua mbali na mkeo, chukua simu yake nenda kwenye blacklist.

Angalia namba zilizopo huko

Amini nakuambia utazikuta, baadhi itakua wanaomdai na zingine za wanaume wenzio

Muwe na jumapili njema
 
Back
Top Bottom