Nyie shomile huwaza umalaya tu na mikuyenge tu unaumwa serious hizo hamu unazipatia wapi, hafu hospital Huwa Kuna ma Dr na ma nurse Dr wakiume akikuhudumia lazima nurse wa kike awepo, huo mda ni saa ngapi?[emoji23]Duh! kwahyo hata akikupima na mkuyenge huku anasugua “back and forth” mpka atoe wazungu siyo mbaya?
Akili ni nazo syo tu hizo, High IQ na utashi wa hali ya juu wa kuuliza beyond Human intellectual.
Sikuhitimu na degree tu.
[emoji2][emoji2] wazee wakujisifia kuliko uhalisia kuwa jirani na Uganda napo nje ya nchi [emoji2][emoji2][emoji2]Niko hapa kuwasemea wale wajinga ambao hawajui hizi ishue.
Sasa kwasababu umekuja juu juu na kuleta makasiriko.Imenipasa nikujibu kwasababu kwa haraka haraka umekariri vya ndani tu hata nje ya nchi unapasikia.
Unaijua Bombadier wewe?
Nyie shomile huwaza umalaya tu na mikuyenge tu unaumwa serious hizo hamu unazipatia wapi, hafu hospital Huwa Kuna ma Dr na ma nurse Dr wakiume akikuhudumia lazima nurse wa kike awepo, huo mda ni saa ngapi?
Picha ya mkeo akipimwa tafadhali, itatusaidia sana kuogopa na kukataza wake zetu kupimwa.Jambo Jambo?
Kwa wanaume kama wewe ni mfuatiliaji au ulishawahi kumpeleka mke/mchumba hospital wakati ni mjamzito na anakaribia kujifungua nadhani mmekwisha kushuhudia hii,Kama hujawahi kushuhudia leo ngoja nkujuze yafuatayo.
Kama mwanamke amebeba mimba yake ya kwanza, wakat wa kujifungua ni lazima njia ifunguke walau sentimita 8 au 9 na si chini ya hapo, Na kama mwanamke ameshawahi kubeba mimba awali na hiyo ni mimba ya pili ya tatu au kuendelea ni Njia ikifunguka hata chini ya sentimita 8 au zikawa 7 anaruhusiwa kujifungua kwasababu nyonga imekwisha panuka.
ILA UPIMAJI WA NJIA YA UZAZI SIYO NZURI KWA KWELI KWA MAANA WAUUGUZI NA MADOKTA HUSONTEKA MIDOLE KWENYE NYETI ZA MKE/MCHUMBA WAKO MARA KWA MARA NA KWA MIDA TOFAUTI TOFAUTI MPKA WAPATE SENTIMITA HIZO.
Unampeleka mke wako hospital, unakutana na vijana wadogo walioko field tena wakiume umri kuanzia 20 na 22 wamekaa labor room, wanakupokea we na mke wako na kumlaza mke wako, wewe ukiwa pembeni, kijana huyo anampima mapigo ya moyo ya mtoto tumboni kisha anavaa gloves na kumwambia mke wako
“MAMA VUA NGUO YA NDANI HALAFU PANUA MIGUU NIINGIZE VIDOLE NIPIME NJIA”
mke wako kwa kuchanganyikiwa na uchungu na akijali hali ya mtoto anafanya hivyo kijana anashuhudia nyeti za mke wako na anasonteka vidole mbele yako huku unashuhudia anatoa vidole na utelezi wa ndani, huku akifurahia hilo zoezi na kama haijafunguka atakuja mwingine tena na huyu mwingine unakuta ana viganja na midole mikubwa na kumwambia mke wako
“PANUA NIONE KAMA IMEFUNGUKA TENA”
anavaa gloves anasonteka vidole kisha anatoa hivyo hvyo mpka njia ifunguke yote
Na kama njia pengine ina sentimita 4 au 3 ataambiwa afanye mazoezi ya kutembea korido za labor, atakuwa anaingiziwa vidole kwa masaa kadhaa au siku kadhaa mpak waone njia imekuwa kubwa na mtoto anaweza akapita.
Nakumbuka wakati nampeleka wife, niligoma mke wangu kupimwa na vijana wadogo kama wale ambao nilivyofika tu wakawa wanagombania ile nafasi ya kutaka kufanya ujinga ule.
Nilimuita dokta mkuu( sista) na kumwambia mke wangu afanye upasuaji kwasababu wakati wa kujifungua kawaida kuna complications nyingi. wakakubali akafanyiwa upasuaji, na ataendelea na huo utaratibu mpka mtoto wa 4.
WANASEMA MFICHA UCHI HAZAI. Na nakubaliana na hilo kuwa hospital uchi si mali.
Lakini kule labor kuweka tuvijana vidogo twa field inakera kiasi.Tena twingine tuna viganja vinene kama TANGAWIZI NARUDIA KAMA TANGAWIZI
N:B hospital niliyoenda ni ya kanisa Wakati wa upimaji njia wanakuruhusu ili wakaushauri kama mke wako ajifungue kawaida au upasuaji kabla ya kupima nilizuia )
(Nimeshusha huu uzi baada ya kusikia wauuguzi wawili wakiwa bar juzi wakipiga soga, Mmoja akawa anasema kuwa siku hiyo ilikuwa nzuri kwa kuwa alikuwa anapata bahati ya kupima (Nyau )zilizolaiini , Shaved na natural )
KAMA UNA ROHO NDOGO BAKI HOME MTUME MAMA MKWE AU MAMA YAKO UKIENDA WEWE UNAWEZA UKARUSHA NGUMI.
nshomile
kwasasa
kahama,Tanzania.
Mpaka mzungu aje aseme hii njia ya upimaji sio sahii ndo utawasikia asee kweli kabisa hii niia ili kua ni uzalilishaji ila sisi wenyewe tukitoa mapendekezo, aahaa wapi huonekana ni ujinga tu, weusi hamtaki kutafakari kama kuna niia mbadala zaidi ya hii kama tukitafakari vizuriKuna watu humu ndani wanajifanya Kama hawajaumbiwa hizi roho za kibinadamu!
Huruma,
Hasira
Wivu
Mtu akileta uzi unaogusa hisia zake za huruma, hasira, wivu, mtu anatoka huko kwa speed kuja kumsagia kunguni!
Mwanaume wa kawaida hawezi chukulia simple mke wake anachezewa nyeti na mwanaume mwingine!
Hizo circumstances Ni kwamba hazina namna! Itabidi kujikaza kiume!
Sio jitu linakuja kutoka kusikojulikana kuja kudharau hisia ya hasira ya mwanamume mwenzake kuona mkewe anashikwa nyeti zake na vijana wadogo ambao amewazidi umri kwa mbaali!
Mtoa mada, naiona hisia yako iko real kabisa!
Ila hatuna namna, tuombe ifike wakati issue ya jinsia, na age itazamwe hospitalini!
Nawapongeza wenzetu huko ughaibuni, mtu anaweza kudecide hospitali ipi na Dactari yupi amhudumie mtu wake!
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Picha ya mkeo akipimwa tafadhali, itatusaidia sana kuogopa na kukataza wake zetu kupimwa.
Bora ajifungue kwa operation kuliko nisononeshe nafsi yangu kwa kumbukumb hio mbaya.
Ama kama akipatikana Dr wa kike mwenzie it will be far better
Kweli jirani, leba.Kama ni mtoto bado atajuaje mambo ya leba
👍👍we mtani wangu wa kihaya 'nshomile" ebu punguza mihemko utaki mama bhoke apimwe njia
kwa msaada tu ipo hivi katika huduma za mama mjamzito anapokaribia kujifungua kuna hatua kadhaa ni muhimu kuzipitia maana zinatuwezesha kufahamu mapema juu ya hali ya mtoto ,mama na uwezo wake wakujifungua kawaida ama kwa operation iwe hospital ya private ama ya umma
vipimo vya awali akiwa labor kwa ajiri ya kujifungua
1; kadi ya clinic udhulio la mwisho
2; maendeleo ya mtoto kwa manual yani fetoscope na ultrasound
3;wingi wa damu na group la damu
4;kupima njia ya mama na kujaza partograph
5;kutoa maamuzi ya njia ipi itamfaa mama kujifungua
6;kujadili na mgonjwa na ndugu ili kumsaiidia
sasa katika kupima njia ya mama na kuangalia kama imefunguka ni muhimu kufanya manual kwa kutumia vidole na mkunga ama nurse ama daktari kwa sababu si njia tu ata kuangalia engeagament ya mtoto kwenye pelvic bones na kuangalia prominence of the pelvic brim kama mtoto ameshaanza kuteengeneza caput na pia kupasua chupa wenyewe mnaita ila kusaidia njia ifunguke vzr
kifupi kuna msaada mkubwa sana kitaalam kupima njia kwa njia ya manual yani kuingiza vidole kuliko kutumia hiyo digital na ata nchi zilizoendelea katika kutoa huduma kama za ulaya bado manual pv examination ni muhimu na ina kuwa applicable
point yako ni hii ulikua na uwezo wa kushauriana na watoa huduma asifanyiwe na wanafunzi sawa inaruhusiwa ila kaa kumbuka ata madaktari bingwa walianza hivyo kwakua masomo ya udaktari clinical ni lazima
ila uliowasikia wakihadithiana ni nidhamu mbovu tu yao
cc;wote mnaochangia
Hilo neno "kusonteka" unamaanisha nini?Umeandika kinyamwezi kama kila mtu anajua!Jambo Jambo?
Kwa wanaume kama wewe ni mfuatiliaji au ulishawahi kumpeleka mke/mchumba hospital wakati ni mjamzito na anakaribia kujifungua nadhani mmekwisha kushuhudia hii,Kama hujawahi kushuhudia leo ngoja nkujuze yafuatayo.
Kama mwanamke amebeba mimba yake ya kwanza, wakat wa kujifungua ni lazima njia ifunguke walau sentimita 8 au 9 na si chini ya hapo, Na kama mwanamke ameshawahi kubeba mimba awali na hiyo ni mimba ya pili ya tatu au kuendelea ni Njia ikifunguka hata chini ya sentimita 8 au zikawa 7 anaruhusiwa kujifungua kwasababu nyonga imekwisha panuka.
ILA UPIMAJI WA NJIA YA UZAZI SIYO NZURI KWA KWELI KWA MAANA WAUUGUZI NA MADOKTA HUSONTEKA MIDOLE KWENYE NYETI ZA MKE/MCHUMBA WAKO MARA KWA MARA NA KWA MIDA TOFAUTI TOFAUTI MPKA WAPATE SENTIMITA HIZO.
Unampeleka mke wako hospital, unakutana na vijana wadogo walioko field tena wakiume umri kuanzia 20 na 22 wamekaa labor room, wanakupokea we na mke wako na kumlaza mke wako, wewe ukiwa pembeni, kijana huyo anampima mapigo ya moyo ya mtoto tumboni kisha anavaa gloves na kumwambia mke wako
“MAMA VUA NGUO YA NDANI HALAFU PANUA MIGUU NIINGIZE VIDOLE NIPIME NJIA”
mke wako kwa kuchanganyikiwa na uchungu na akijali hali ya mtoto anafanya hivyo kijana anashuhudia nyeti za mke wako na anasonteka vidole mbele yako huku unashuhudia anatoa vidole na utelezi wa ndani, huku akifurahia hilo zoezi na kama haijafunguka atakuja mwingine tena na huyu mwingine unakuta ana viganja na midole mikubwa na kumwambia mke wako
“PANUA NIONE KAMA IMEFUNGUKA TENA”
anavaa gloves anasonteka vidole kisha anatoa hivyo hvyo mpka njia ifunguke yote
Na kama njia pengine ina sentimita 4 au 3 ataambiwa afanye mazoezi ya kutembea korido za labor, atakuwa anaingiziwa vidole kwa masaa kadhaa au siku kadhaa mpak waone njia imekuwa kubwa na mtoto anaweza akapita.
Nakumbuka wakati nampeleka wife, niligoma mke wangu kupimwa na vijana wadogo kama wale ambao nilivyofika tu wakawa wanagombania ile nafasi ya kutaka kufanya ujinga ule.
Nilimuita dokta mkuu( sista) na kumwambia mke wangu afanye upasuaji kwasababu wakati wa kujifungua kawaida kuna complications nyingi. wakakubali akafanyiwa upasuaji, na ataendelea na huo utaratibu mpka mtoto wa 4.
WANASEMA MFICHA UCHI HAZAI. Na nakubaliana na hilo kuwa hospital uchi si mali.
Lakini kule labor kuweka tuvijana vidogo twa field inakera kiasi.Tena twingine tuna viganja vinene kama TANGAWIZI NARUDIA KAMA TANGAWIZI
N:B hospital niliyoenda ni ya kanisa Wakati wa upimaji njia wanakuruhusu ili wakaushauri kama mke wako ajifungue kawaida au upasuaji kabla ya kupima nilizuia )
(Nimeshusha huu uzi baada ya kusikia wauuguzi wawili wakiwa bar juzi wakipiga soga, Mmoja akawa anasema kuwa siku hiyo ilikuwa nzuri kwa kuwa alikuwa anapata bahati ya kupima (Nyau )zilizolaiini , Shaved na natural )
KAMA UNA ROHO NDOGO BAKI HOME MTUME MAMA MKWE AU MAMA YAKO UKIENDA WEWE UNAWEZA UKARUSHA NGUMI.
nshomile
kwasasa
kahama,Tanzania.
Mimi napenda kupimwa na mwanaume kikubwa tibaSawa kwahyo wewe nani alikusonteka midole ni nurse au dokta
nataka kufunga mjadala nina kikao mchana.
we mtani wangu wa kihaya 'nshomile" ebu punguza mihemko utaki mama bhoke apimwe njia
kwa msaada tu ipo hivi katika huduma za mama mjamzito anapokaribia kujifungua kuna hatua kadhaa ni muhimu kuzipitia maana zinatuwezesha kufahamu mapema juu ya hali ya mtoto ,mama na uwezo wake wakujifungua kawaida ama kwa operation iwe hospital ya private ama ya umma
vipimo vya awali akiwa labor kwa ajiri ya kujifungua
1; kadi ya clinic udhulio la mwisho
2; maendeleo ya mtoto kwa manual yani fetoscope na ultrasound
3;wingi wa damu na group la damu
4;kupima njia ya mama na kujaza partograph
5;kutoa maamuzi ya njia ipi itamfaa mama kujifungua
6;kujadili na mgonjwa na ndugu ili kumsaiidia
sasa katika kupima njia ya mama na kuangalia kama imefunguka ni muhimu kufanya manual kwa kutumia vidole na mkunga ama nurse ama daktari kwa sababu si njia tu ata kuangalia engeagament ya mtoto kwenye pelvic bones na kuangalia prominence of the pelvic brim kama mtoto ameshaanza kuteengeneza caput na pia kupasua chupa wenyewe mnaita ila kusaidia njia ifunguke vzr
kifupi kuna msaada mkubwa sana kitaalam kupima njia kwa njia ya manual yani kuingiza vidole kuliko kutumia hiyo digital na ata nchi zilizoendelea katika kutoa huduma kama za ulaya bado manual pv examination ni muhimu na ina kuwa applicable
point yako ni hii ulikua na uwezo wa kushauriana na watoa huduma asifanyiwe na wanafunzi sawa inaruhusiwa ila kaa kumbuka ata madaktari bingwa walianza hivyo kwakua masomo ya udaktari clinical ni lazima
ila uliowasikia wakihadithiana ni nidhamu mbovu tu yao
cc;wote mnaochangia
Yeye hajawahi kupimwa na ndiyo maana nimekuomba utuwekee picha ya mkeo akipimwa, nilikuwa na maana yangu.Muulize mkeo hapo walimpimaje ?
Ukienda hospitali za serikali hasa zile za Wilaya na Mkoa (Rufaa) ndiyo vimejaa hivyo vitoto vya kiume vya field! Ukivikuta vimevaa visuruali mlegezo, na vya kubana!Jambo Jambo?