Kuna watu humu ndani wanajifanya Kama hawajaumbiwa hizi roho za kibinadamu!
Huruma,
Hasira
Wivu
Mtu akileta uzi unaogusa hisia zake za huruma, hasira, wivu, mtu anatoka huko kwa speed kuja kumsagia kunguni!
Mwanaume wa kawaida hawezi chukulia simple mke wake anachezewa nyeti na mwanaume mwingine!
Hizo circumstances Ni kwamba hazina namna! Itabidi kujikaza kiume!
Sio jitu linakuja kutoka kusikojulikana kuja kudharau hisia ya hasira ya mwanamume mwenzake kuona mkewe anashikwa nyeti zake na vijana wadogo ambao amewazidi umri kwa mbaali!
Mtoa mada, naiona hisia yako iko real kabisa!
Ila hatuna namna, tuombe ifike wakati issue ya jinsia, na age itazamwe hospitalini!
Nawapongeza wenzetu huko ughaibuni, mtu anaweza kudecide hospitali ipi na Dactari yupi amhudumie mtu wake!
Sent from my Infinix X657 using
JamiiForums mobile app