Mwanaume Kama Una Roho Ndogo, Usishuhudie Mke wako Akipimwa Njia Ya Mtoto wakati anakaribia kujifungua.

Jambo Jambo?

Kwa wanaume kama wewe ni mfuatiliaji au ulishawahi kumpeleka mke/mchumba hospital wakati ni mjamzito na anakaribia kujifungua nadhani mmekwisha kushuhudia hii,Kama hujawahi kushuhudia leo ngoja nkujuze yafuatayo.

Kama mwanamke amebeba mimba yake ya kwanza, wakat wa kujifungua ni lazima njia ifunguke walau sentimita 8 au 9 na si chini ya hapo, Na kama mwanamke ameshawahi kubeba mimba awali na hiyo ni mimba ya pili ya tatu au kuendelea ni Njia ikifunguka hata chini ya sentimita 8 au zikawa 7 anaruhusiwa kujifungua kwasababu nyonga imekwisha panuka.

ILA UPIMAJI WA NJIA YA UZAZI SIYO NZURI KWA KWELI KWA MAANA WAUUGUZI NA MADOKTA HUSONTEKA MIDOLE KWENYE NYETI ZA MKE/MCHUMBA WAKO MARA KWA MARA NA KWA MIDA TOFAUTI TOFAUTI MPKA WAPATE SENTIMITA HIZO.

Unampeleka mke wako hospital, unakutana na vijana wadogo walioko field tena wakiume umri kuanzia 20 na 22 wamekaa labor room, wanakupokea we na mke wako na kumlaza mke wako, wewe ukiwa pembeni, kijana huyo anampima mapigo ya moyo ya mtoto tumboni kisha anavaa gloves na kumwambia mke wako

“MAMA VUA NGUO YA NDANI HALAFU PANUA MIGUU NIINGIZE VIDOLE NIPIME NJIA”

mke wako kwa kuchanganyikiwa na uchungu na akijali hali ya mtoto anafanya hivyo kijana anashuhudia nyeti za mke wako na anasonteka vidole mbele yako huku unashuhudia anatoa vidole na utelezi wa ndani, huku akifurahia hilo zoezi na kama haijafunguka atakuja mwingine tena na huyu mwingine unakuta ana viganja na midole mikubwa na kumwambia mke wako

“PANUA NIONE KAMA IMEFUNGUKA TENA”

anavaa gloves anasonteka vidole kisha anatoa hivyo hvyo mpka njia ifunguke yote
Na kama njia pengine ina sentimita 4 au 3 ataambiwa afanye mazoezi ya kutembea korido za labor, atakuwa anaingiziwa vidole kwa masaa kadhaa au siku kadhaa mpak waone njia imekuwa kubwa na mtoto anaweza akapita.

Nakumbuka wakati nampeleka wife, niligoma mke wangu kupimwa na vijana wadogo kama wale ambao nilivyofika tu wakawa wanagombania ile nafasi ya kutaka kufanya ujinga ule.

Nilimuita dokta mkuu( sista) na kumwambia mke wangu afanye upasuaji kwasababu wakati wa kujifungua kawaida kuna complications nyingi. wakakubali akafanyiwa upasuaji, na ataendelea na huo utaratibu mpka mtoto wa 4.

WANASEMA MFICHA UCHI HAZAI. Na nakubaliana na hilo kuwa hospital uchi si mali.
Lakini kule labor kuweka tuvijana vidogo twa field inakera kiasi.Tena twingine tuna viganja vinene kama TANGAWIZI NARUDIA KAMA TANGAWIZI

N:B hospital niliyoenda ni ya kanisa Wakati wa upimaji njia wanakuruhusu ili wakaushauri kama mke wako ajifungue kawaida au upasuaji kabla ya kupima nilizuia )

(Nimeshusha huu uzi baada ya kusikia wauuguzi wawili wakiwa bar juzi wakipiga soga, Mmoja akawa anasema kuwa siku hiyo ilikuwa nzuri kwa kuwa alikuwa anapata bahati ya kupima (Nyau )zilizolaiini , Shaved na natural )

KAMA UNA ROHO NDOGO BAKI HOME MTUME MAMA MKWE AU MAMA YAKO UKIENDA WEWE UNAWEZA UKARUSHA NGUMI.

nshomile
kwasasa
kahama,Tanzania.
Ukweli mchungu, vijana wanachezea sana K
 
Mbona hilo jambo la kawaida sana hujiulizi wa bawasiri mbona wanaenda kuwatanulia madoc. Mikundu na wanapimwa wengine ni bawasiri la ndani docyor anaingiza applicator na dawa anasukuma kama bomba la sondano. Wale wapo kazini ukiwa na mawazo mabaya utahisi vibaya ila kazi yao wakiifanya vizuri ww ndio unafurahia kupata mtoto katoka salama
 
Siku hizi wajinga wanaongeza taifa hili kwani Kuna shida gani kupimwa Kwa vidole, wacheni ku complicate maisha
 
Mimi nitachagua mwanamke amhudumie, huo ujinga unanikera sana.

Nina kaka zangu wawili katika sekta hiyo (mkubwa na mdogo). Sasa bro mkubwa yeye yupo kwenye ealy 30s ameshajitambua, akifanya mambo hayo humsikii akitamba na anaheshimu kazi yake. Shughuli ipo kwa dogo (early 20s), linasimulia linavyofurahia zoezi na huwa linadinda kabisa, wagonjwa wasio na waume huwa wengi wanaacha namba za simu na wanaishia kuliwa. Dogo likisimulia huwa nacheka ila moyoni naona kabisa siwezi kuhimili upuuzi huo.
 
Siku hizi wajinga wanaongeza taifa hili kwani Kuna shida gani kupimwa Kwa vidole, wacheni ku complicate maisha

unaleta chuki kisa dokta mwenye vidole kama tangawizi aliku”sonteka” .

Kama una hoja comment na siyo kujifanya unajua, Hivi unajua wenzenu wa kenya wanapimwaje???

Umekaa najilinji huko hujawahi kufika hata nchi jirani hapo unalete makasiriko
 
Kwa taarifa yako hata upasuaji Huwa anapanua miguu na Dr kuingiza ile catheter juu ya kisimi Kwa ndani. So hivo ni vitu vya kawaida wanawake tunavokutana navyo hospital na hatulalamiki why nyie wanaume mulalamike wakati sio nyeti mnaopimwa

Alipimwa na dokta mkuu wa pale ambaye alikuwa ni sista mtu mzima.

Kenya wana vifaa maalum na siyo kukusonteka vidole.

Hujui kitu
 
unaleta chuki kisa dokta mwenye vidole kama tangawizi aliku”sonteka” .

Kama una hoja comment na siyo kujifanya unajua, Hivi unajua wenzenu wa kenya wanapimwaje???

Umekaa najilinji huko hujawahi kufika hata nchi jirani hapo unalete makasiriko

Koku Wasamehe tu hao Vijana wa Field , then Maisha yaendelee [emoji23]
 
Kuna wanaume wengine wanawatumga wakwe au wazazi kwenye mahospitali na hawajui kuwa wake zao wanasontekwa midole mikubwa mikubwa,

Mgonjwa ana haki ya kukataa huduma.

mimi mke wangu alifanyiwa upasuaji na alipigwa sindano na sista
 
Uzi umekaa kimajungu sana huu sasa hii ndio nini hiyo ni nature ya dunia hutaki usizae au usioe kaa peke yako hutopata hayo maumivu wacha watu wapekenyenyuliwe 😂😂😂
 
Hamna kitu kiliniuma roho kama hiki baada ya mke wangu kunihadithia ilivyokuwa.
Kila nikikumbuka moyo unalipuka paah 🥺
 
unaleta chuki kisa dokta mwenye vidole kama tangawizi aliku”sonteka” .

Kama una hoja comment na siyo kujifanya unajua, Hivi unajua wenzenu wa kenya wanapimwaje???

Umekaa najilinji huko hujawahi kufika hata nchi jirani hapo unalete makasiriko
Sina chuki ila ujinga umezidi sana JF sikuhizi Yani Dr asifanye physical examination kisa hisia zako eti vidole vya tangawizi. Shame shame, ungekuwa na akili ugesomea huo udaktari Sasa sio umefeli huko unalaumu.
Mie Dr aiimgize hata mguu sawa tu
 
Physical examination Iko popote na ni muhimu haikwepeki Wacha ujuaji.

Examination ipo pale pale, ila hawasontekwi vidole kama walivyokufanyia.

Wanaingiza “digital Peg” inayo pima dimesions za mbumpa yako.

Niliona kenya na Botswana.

Usijitie kiburi huo ndo ukweli
 
Kwahyo digital peg ndio umeona hoja [emoji2][emoji2] Kuna watu mwapenda sifa za kijinga [emoji2][emoji2] watu wa Rio de Janeiro ya mchongo mna sifa za kijinga kweli yani. Wewe sio mwanamke unazungumzia vipimo beba kwanza mimba shuwaini
 
Sina chuki ila ujinga umezidi sana JF sikuhizi Yani Dr asifanye physical examination kisa hisia zako eti vidole vya tangawizi. Shame shame, ungekuwa na akili ugesomea huo udaktari Sasa sio umefeli huko unalaumu.
Mie Dr aiimgize hata mguu sawa tu

[emoji23]Duh! kwahyo hata akikupima na mkuyenge huku anasugua “back and forth” mpka atoe wazungu siyo mbaya?

Akili ni nazo syo tu hizo, High IQ na utashi wa hali ya juu wa kuuliza beyond Human intellectual.

Sikuhitimu na degree tu.
 
Kwahyo digital peg ndio umeona hoja [emoji2][emoji2] Kuna watu mwapenda sifa za kijinga [emoji2][emoji2] watu wa Rio de Janeiro ya mchongo mna sifa za kijinga kweli yani. Wewe sio mwanamke unazungumzia vipimo beba kwanza mimba shuwaini

Niko hapa kuwasemea wale wajinga ambao hawajui hizi ishue.

Sasa kwasababu umekuja juu juu na kuleta makasiriko.Imenipasa nikujibu kwasababu kwa haraka haraka umekariri vya ndani tu hata nje ya nchi unapasikia.

Unaijua Bombadier wewe?
 
Back
Top Bottom