Mwanaume kama una tabia hii acha mara moja

Write your reply...lau ungesema sipoa mtu kula yungali unatembea ningekuunga mikono na miguu ila sio Ivo
by the way nimeachaga kula big bom
maana washkaji hawaielewi kabisa isee
 
Mwanaume kutembea unakula kula njiani kama mama mjamzito ni umama. Mwanaume anakunywa chai , lunch na dinner baasi.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Unasemaje.....
 
Hii post niyakudhalilisha wanawake na nikuonyesha safari yetu ya haki, usawa na kuheshimu wanamke bado ni ndefu kwahiyo kwa ujumla umeamua kuwatukana ndugu zako bila hatia yaaani mama yako dada yako binti yako na mpendwa wako kamambado huna mke
 
Lazima tukubali kuna vitu kwa mwanaume kuvifanya inabidi ujitoe ufahamu kidogo hata kama sio kosa,moja wapo ni hilo unawezaje mwanaume umekaa ktk daladala alafu eti unaagiza ukwaju!? Agiza maji basi na hata karanga pia kwa mwanaume anaejitambua hawezi kulakula ovyo ktk sehemu zenye mkusanyiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…