Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imeandikwa wap icecream zinaliwa na wanawake
Ukiona Mwanaume anamzungumzia Mwanaume mwenzake basi ujue kuna kitu anataka kumpa!
Unasemaje.....Mwanaume kutembea unakula kula njiani kama mama mjamzito ni umama. Mwanaume anakunywa chai , lunch na dinner baasi.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hii post niyakudhalilisha wanawake na nikuonyesha safari yetu ya haki, usawa na kuheshimu wanamke bado ni ndefu kwahiyo kwa ujumla umeamua kuwatukana ndugu zako bila hatia yaaani mama yako dada yako binti yako na mpendwa wako kamambado huna mkeHabari....
Hivi mwanaume unanunua ice cream au lambalamba unakula barabarani kama mwanamke au mtoto mdogo unamaanisha nini??
Kwa nini mnatudhalilisha sisi wanaume??
ACHENI TABIA ZA KIJINGA, nunua karanga, korosho na vitu vingine vya kiume. Huo ujinga wa kike acheni haraka sana. HASA WATU WA DAR.
Sio kila kitu kimeandikwa,mengine ni law of nature.Imeandikwa wap icecream zinaliwa na wanawake