Mwanaume kama unatumia dk 1-3 kufanya mapenzi fanya mambo haya...

Mwanaume kama unatumia dk 1-3 kufanya mapenzi fanya mambo haya...

per1

Member
Joined
Aug 29, 2024
Posts
75
Reaction score
117
1. Jitahidi utumie supu ya dagaa chuku chuku kumbuka isiwekwe chumvi na mafuta (x5 kwa week).

2. Punguza vinywaji vyenye sukari kwa wingi au vyakula vyenye sukari nyingi badala yake tumia maji.

3. Achana na maji ya baridi ndio maji ya baridi achana nayo kunywa maji ya vugu vugu kama wachina.

4. Pata juice ya alovera mambo yatakuwa safi.

5. Jizoeshe kutafuna natafaka kama karanga kimtindo hii itakusaidia kula mihogo safi safi.

6. Chips iwe hamu kula chips zen kale ugali wako wa mtama au dona sembe sio poa sana

Ikiwa unafanya haya mambo hayaendi nione tupate miti shamba uoe hadi wanawake 7.

TUTAELEWANA TU.
 
hizo protocol zote karibu nimeona wanangu wengi wanazifuata lakini bado holla swala ni kwamba stress zimekuwa mingi sikuhizi ndioo maana mtu akinywa kilevi uperform tendo kikamilifu maana akili anakuwa ameweka hapo muda huo

yote kwa yote tunaomba ulipie tangazo
 
Acha kuwapotosha vijana, dakika 3 kwa first round ni average kabisa na yupo healthy.

Madokta uchwara mmekuwa wengi, sasa unataka wafanye dakika 45 kama kipindi cha kwanza cha football?

Acha utapeli na kupotosha vijana, issue mbaya labda ni erectile dysfunction.
 
Sie wenye vichwa vinachungulia nje kila saa shida nini?
 
swala la nguvu za kiume ni lipo kichwani zaidi how you trigger your mind on it
Umenena vyema kabisa tena limeathiri wengi kisaikolojia maana sehemu zingine zote wanaume wengi tumekubali kutofautiana yaani uwezo wa mwili mfano kukimbia, kutembea, nguvu ya kunyanyua vitu etc, pia chakula yaani mwingine anakula plate inajaa na kilemba na mwingine kiasi na mwingine anakunywa chai vikumbe 3 mwingine kimoja.

Ila kimbembe kwenye ngono sasa watu hawakubali kutofautiana wanataka kuwa sawa yaani kama mtu anapiga dakika 20 au 30, basi na wengine wanapambana watumie dakika hizo hizo na ndipo wanatumia nguvu kubwa kutafuta tiba kwa ugonjwa ambao hawana na kujikuta akili inapoteza mwelekeo kumbe kila mtu angepambana na hali inafika mahala nyuchi unaizoea kiasi mpaka unakuwa na uwezo wa kujizuia kama unavyozuia mkojo tu
 
Tema mate chini mkuu, bado hujasikia


Hizo nyingi sana sekunde 30 hivi tena nahisi zikizidi sana ni dakika 1

Na hii ni personal experience sio google wala nini


Hivi kuna mtu anayetumia dakika 1-3 kweli au umeamua tu kuandika,hizo ni dakika za kuku
 
Back
Top Bottom