Umenena vyema kabisa tena limeathiri wengi kisaikolojia maana sehemu zingine zote wanaume wengi tumekubali kutofautiana yaani uwezo wa mwili mfano kukimbia, kutembea, nguvu ya kunyanyua vitu etc, pia chakula yaani mwingine anakula plate inajaa na kilemba na mwingine kiasi na mwingine anakunywa chai vikumbe 3 mwingine kimoja.
Ila kimbembe kwenye ngono sasa watu hawakubali kutofautiana wanataka kuwa sawa yaani kama mtu anapiga dakika 20 au 30, basi na wengine wanapambana watumie dakika hizo hizo na ndipo wanatumia nguvu kubwa kutafuta tiba kwa ugonjwa ambao hawana na kujikuta akili inapoteza mwelekeo kumbe kila mtu angepambana na hali inafika mahala nyuchi unaizoea kiasi mpaka unakuwa na uwezo wa kujizuia kama unavyozuia mkojo tu