Nina 40+ nikianua kurefusha manbo ni dajika 40Tema mate chini mkuu, bado hujasikia
Hizo nyingi sana sekunde 30 hivi tena nahisi zikizidi sana ni dakika 1
Na hii ni personal experience sio google wala nini
swadakta ...naungana na wewe huwezi badilisha uhalia wako ingali unajua huwezi badilishaUmenena vyema kabisa tena limeathiri wengi kisaikolojia maana sehemu zingine zote wanaume wengi tumekubali kutofautiana yaani uwezo wa mwili mfano kukimbia, kutembea, nguvu ya kunyanyua vitu etc, pia chakula yaani mwingine anakula plate inajaa na kilemba na mwingine kiasi na mwingine anakunywa chai vikumbe 3 mwingine kimoja.
Ila kimbembe kwenye ngono sasa watu hawakubali kutofautiana wanataka kuwa sawa yaani kama mtu anapiga dakika 20 au 30, basi na wengine wanapambana watumie dakika hizo hizo na ndipo wanatumia nguvu kubwa kutafuta tiba kwa ugonjwa ambao hawana na kujikuta akili inapoteza mwelekeo kumbe kila mtu angepambana na hali inafika mahala nyuchi unaizoea kiasi mpaka unakuwa na uwezo wa kujizuia kama unavyozuia mkojo tu
Kaka wapp mpka sekunde 30 kaka kuna manz ashawah nipa stori anakwambia jamaa akizama hata dakika hafiki teyariHivi kuna mtu anayetumia dakika 1-3 kweli au umeamua tu kuandika,hizo ni dakika za kuku
Wakati unafanya yote hayo mwanamke anafanya nini?1. Jitahidi utumie supu ya dagaa chuku chuku kumbuka isiwekwe chumvi na mafuta (x5 kwa week
2. Punguza vinywaji vyenye sukari kwa wingi au vyakula vyenye sukari nyingi badala yake tumia maji..
3. Achana na maji ya baridi ndio maji ya baridi achana nayo kunywa maji ya vugu vugu kama wachina
4. Pata juice ya alovera mambo yatakuwa safi
5. Jizoeshe kutafuna natafaka kama karanga kimtindo hii itakusaidia kula mihogo safi safi
6. Chips iwe hamu kula chips zen kale ugali wako wa mtama au dona sembe sio poa sana
Ikiwa unafanya haya mambo hayaendi nione tupate miti shamba uoe hadi wanawake 7.
.........TUTAELEWANA TU......
Mbona nyingi sana hizo. Inatakiwa umalize kabla ya hapo ukafanye shughuli nyingine za ujenzi wa Taifa.Hivi kuna mtu anayetumia dakika 1-3 kweli au umeamua tu kuandika,hizo ni dakika za kuku
KabisaLengo la mwanaume kufanya mapenzi ni kumwaga shahawa zilizoko viunoni mengine ni kujichosha tu.
Eti mtu unakuta ana kunywa mavitu ya ajabu ajabu ili akae kwenye kifua cha mwanamke saa zima sijui anataka kugundua nn?Kabisa
Sure mzee baba, hii tabia ya kutaka kujifanya shujaa mbele ya mwanamke inaumiza wwanaume wengi sana.Eti mtu unakuta ana kunywa mavitu ya ajabu ajabu ili akae kwenye kifua cha mwanamke saa zima sijui anataka kugundua nn?
Na mbaya zaidi unakuta huyo mkewe anaye mfanya afanye hayo yote ni kahaba msitaafu ambaye kabla hajamuoa amesha liwa na rundo la wanaume wa kila aina.
Kwenye dunia ya sasa wanaume tujifunze kuwa wabinafisi tofauti na hapo tutapata tabu sana.