Mwanaume kamili acha mara moja mambo haya

Kama ndio kigezo basi bora mnitoe kundini. Ila kuangalia mpira nimeshindwa😤😤
Binafsi nikiangalia mpira nasinzia Ila movies apo tutakesha...mpira labda niwe msindikizaji tuu Kwenye kuangali
 
Mashabiki wa machester wengi wapo ivyo
 
Frankly mwanaume asiyependa wala kuangalia mpira si vibe nae hata kwa mbali[emoji849]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo yameandikwa kwenye msahafu gani au fikra za kitanganyika Tanganyika tu?

Wanaovaa makaptula wavae, wanaovaa sendo sijui nini, wavae tu.

Huo muda wa kuangalia nani kavaa nini huwa mnaoutoa wapi aisee? Duh!
 
mwanaume kuongea kwa kuchanganya maneno ya kingereza na kiswahil mara kwa mara kila sentens atakayo ongea alaf mbaya zaid sio wa kishua/mshua

mwanaume kuendelea kushikilia mkono wa mwanaume mwenzako uku ukiuchezea chezea baada ya salamu ya kupeana mikono
 
Kuendesha IST
 
Mie nikiona mwanaume mwenzangu anaandika text na kuweka neno "my"
Huwa naanza kuhisi harufu ya biryani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Umeongea kwa uchungu kinoma mwanangu... Big up
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…