Mwanaume Kufanya Mapenzi mbele ya Mwanaume Mwenzako ni Kudhalilishana

Status
Not open for further replies.
Nilimkwepa, sema yeye alikuwa na hasira, ya kwanza aliwahi, ya pili nilimwachia ghetto
 
Hivi mbona akili umeielekezea kwenye ushoga mama, nakuhakikishia baada ya miaka 20 miongoni mwa wanaume 10 tutakaobaki na mimi nitakuwemo
Nisamehe kwa kukukwaza kipenzi.

Sitamani uwe shoga na nimefurahishwa na kauli yako ya kishujaa ila epuka marafiki wa hovyo kama hao.


Hivi mbona akili umeielekezea kwenye ushoga mama, nakuhakikishia baada ya miaka 20 miongoni mwa wanaume 10 tutakaobaki na mimi nitakuwemo
 
Aiseeeee watu mmeniandama, iko hivi,

Mimi sio shoga, Dem nnae 💉
Mi nimekuelewa dogo ila ungekua hujataja kijijini nilihisi umekulia geti kali coz watoto wa geti kali wanakuagq wazubaifu sana na ni rahisi watoto wa street kuwageuza gays.

Unaonekana mpole usie na makuu cha msingi umesema sio gay basi hakuna baya ila kuna vitu inabidi uvifanyie kazi lazima wenzio wakuheshimu
 
Tabia za watu kula mademu zao mbele ya washikaji zimefanyika sana Hosteli Vyuoni.
Sema kwa uandishi wako na story ni "Bottom" mwenye Aibu saana!
Mbona umemkazania mtoto wa watu kuwa ni shoga wkt mwenyewe anajitetea kwa nguvu kuwa sio?

Unaonekana una michezo mibaya mkuu,sorry.
Kasema hapendi madem akimaanisha yeye sio kiwembe yaani mtu wa kutulia na demu mmoja.
Yeye si ndio katuhadithia na yeye ndio anakana sio shoga why ulazimishe ni shoga?

Huyo anaonekana ni mpole sana na labda kakua peke yake peke yake
 
Alaf hili tukio nilikiwa nasimulia kama mfano, ili Tuache tabia kama hiyo. Imagine nakula mzigo mbele ya mwanao si nitakuwa namharibu akili, manaake hawezi tena kuwaza vitu vingine vya msingi, atakuwa anawaza na yeye afanye, na akifanya anaweza kuambukizwa maradhi kama gono, ukimwi etc
 
Unanichanganya dogo?
Una miaka mingapi?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…