Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Sio fair Kaka hata Mimi ilishanitokea .sikupenda kabisa.yule jamaa nilimdharau sana.halafu tulikuwa wanne room just imagineHivi mbona akili umeielekezea kwenye ushoga mama, nakuhakikishia baada ya miaka 20 miongoni mwa wanaume 10 tutakaobaki na mimi nitakuwemo