Mwanaume Kufanya Mapenzi mbele ya Mwanaume Mwenzako ni Kudhalilishana

Status
Not open for further replies.
Taja umri sasa unaogopaje wanawake
Nilikuw namwogopa coz alikuwa sio wa level yangu, imagine mtu ananunua msosi ambao mimi sijawahi kununua, ila alivoniona niko na yule jamaa akajua na mimi ni wale wale
Sasa Kasema anaogopa wanawake yaani demu kuja kukaa nae tu jasho hadi miguuni, atatongozaje sasa. Mkuu
Mkuu ndo jasho hadi miguuni 🤣
 
Hii mada nimeitoa ili kuwaambia vijana, walioguswa wamekuja mazima mazima, walionielewa nao wapo. Ila chukueni huo ujumbe, hizi tabia na hii teknolojia mtakuja kurekodiwa na watu wenye nia mbaya... Shauri yetu vijana 🙌
 
Hahahaha nimecheka unajua kusimulia. Ulikuwa na malezi mazuri so ilikuwa shock hayo mambo kwako.
 
All in All mimi sio shoga, Ni vile tu watu wakielekezea huko mawazo ukijumlisha na mwandiko kama mnavyosema, wanahisi hivyo, lakini mimi sijaleft group ✊
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…