MadameX
JF-Expert Member
- Dec 27, 2009
- 7,792
- 3,856
wewe wauza unga..maana ndio kipimo chao cha kuuziaMe nimefuga kidole cha mwisho left hand
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe wauza unga..maana ndio kipimo chao cha kuuziaMe nimefuga kidole cha mwisho left hand
wakati wa malavidavi.....
zinasaidia kukuna kuna mgongo wa mwanamke na kwenye butt
Kumbe kero binafsi??
Waulize warembo wanasikiagaje izo kucha zipite juu ya spinal cord na kiunoni.
Kumbe kero binafsi??
Waulize warembo wanasikiagaje izo kucha zipite juu ya spinal cord na kiunoni.
wala hata hatuwataki wanaume wa jinsi hiyo.
Mi nilikuwa nafuga vidole viwili kidogo na chapete dada maza alikuwa apend nilkuwa navificha muda nipo nae,ila siku moja niliota ndoto ya kutisha na mauza uza niliyoyapata kwenye ndoto chanzo kilikuwa ni kucha kuanzia siku ile niliacha kufuga kucha hata msichana mweny kucha ndfu simfaglii
Hiyo ndoto si uiseme ilikuaje, mambo ya mombasa nini!.
Kuna baadhi ya wanaume wanapenda kufuga kucha, nimeona sana wanafunzi wa vyuo wa jinsia ya kiume kufuga kucha kiasi kwamba zinakuwa ndefu kuliko hata zile tulizozoea kuona kwa wasichana. Je kuna maana yoyote kufanya hivi, inawezekana kuwa ni ushoga, au kwao ni urembo tu. Mi binafsi nakereka kuona kijana na makucha marefu.
Kumbe PhD holders wanawaza hivi...