Mwanaume kuhonga sana ni dalili kutokujiweza kitandani

Umeniwahi mkuu, kuna mengi hayajui huyu jamaa.
 
Unaumiaje na papuchi sio yako.?

Kidadek sinunui utelezi mimi aisee. Yaani utamu nimpe na hela ya jasho langu atokomee nayo.??

Jasho langu ni kwaajili ya kesho ya wanangu na familia yangu.....
 
Unaumiaje na papuchi sio yako.?

Kidadek sinunui utelezi mimi aisee. Yaani utamu nimpe na hela ya jasho langu atokomee nayo.??

Jasho langu ni kwaajili ya kesho ya wanangu na familia yangu.....
Bado mtoto ww.
 
Uwe na nguvu kitandani usiwe na pesa. Usipokuwa na pesa wanawake wote watabakia kuwa Dada zako

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Uwe na nguvu kitandani usiwe na pesa. Usipokuwa na pesa wanawake wote watabakia kuwa Dada zako

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Sio kweli..Mimi kuna wanawake wamefunga safari kutoka ulaya na sehemu mbalimbali Tanzania ili wapate micharazo..jiulize tu upo kambi ipi
 
Tsh 3000 =60%
Tsh100,000 =10%
Hizo percent ni kwa alie toa emu tufikilie kwa aliepokea sasa hizo pesa yupi kapata hela ndefu.
Una uhakika na hesabu yako? Nimesema mtu alikuwa na elfu 5, akatoa elfu 3, maana yake ni sawa na kama asilimia 60 ya mapato yake. Hesabu rahisi ni kuwa akitoa 2,500 ni sawa na asilimia 50 ya mapato. Akitoa elfu 3 ni sawa na asilimia 60, inamaana wewe ni mjinga kiasi hicho hujui hesabu rahisi kama hii?
 
Bora utoto wangu wa kuijari kesho ya wanangu kuliko kuwekeza kwenye papuchi
Bado mtoto, mke siku zote lazima apitie uchumba na uchumba ni gharama na kwa wanawake lazima watakupima kama una uwezo wa kulea na KUMTIMIZIA MAHITAJI YA MSINGI yeye na watoto ktk kipindi hiko cha uchumba.
 
Kuhonga ni kugharamia kwa hali ya juu ili upewe mapenzi. Wakati Kuna wengine wanaletewa ghetto bure
 
Kila kitu kifanyike kwa kiasi na tahadhari... Kuhudumia au kutokuhudumia sio guarantee ya kumfanya mwanamke atulie au asitulie
 
Mwanaume tafuta pesa, tunza afya kwa kula vizuri, kufanya mazoezi mepesi na kupata muda wa kupumzika, ukimshika mwanamke wako mpe kitu hatari, ukijifanya kuweka nguvu sehem moja utagongewa tu, fanya haya Utakuja nishukuru
 
Kuhonga ni kugharamia kwa hali ya juu ili upewe mapenzi. Wakati Kuna wengine wanaletewa ghetto bure
Basi neno kuhonga linatumika ndivyo sivyo.
Kumhudumia/saidia mpenzi wako sio kuhonga na wala si mara zote unakua unataka kungonoka tu.
Kwa wenza wenye mlengo wa kungonoka tu kama wewe kumsaidia mpenzi wako unaterm as kuhonga.

Em toeni izo tongotongo za kimaskini na kindezi za mwanaume kupenda vya bure bure tu.
 
Kila kitu kifanyike kwa kiasi na tahadhari... Kuhudumia au kutokuhudumia sio guarantee ya kumfanya mwanamke atulie au asitulie
Kabisa kabisa mkuu mapenzi si pesa lakini ikikosekana mzee panachimbika.
Kikubwa ni kua na kiasi labda mleta mada angesema kutoa pesa kuzidi kipato chako.
 
Wanawake wanahitaji matunzo mzee, mkigongewa mnaanza kulia lia.
 
Kabisa kabisa mkuu mapenzi si pesa lakini ikikosekana mzee panachimbika.
Kikubwa ni kua na kiasi labda mleta mada angesema kutoa pesa kuzidi kipato chako.
Yeah ni kweli ..pesa itoke kulingana na kipato
 
Wanawake wanahitaji matunzo mzee, mkigongewa mnaanza kulia lia.
Hii kauli ya kugongewa huwa siielewi ..hv kwann mwanamke kuliwa na mtu wa pembeni ichukuliwe n km challenge kwa mwanaume ...Wakati anaumia zaidi n huyo mwanamke coz k ndo inazidi kusoma mileage ...na kujiongezea mikosi ...
 
Siku hizi wanaume mnatafuta haki sawa kwa nguvu,mnajisahaulisha kama mmeumbiwa kula kwa jasho!!tafuta hela wewe Acha kuwaza mserereko!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…