Hesabu ngumu sanaUna uhakika na hesabu yako? Nimesema mtu alikuwa na elfu 5, akatoa elfu 3, maana yake ni sawa na kama asilimia 60 ya mapato yake. Hesabu rahisi ni kuwa akitoa 2,500 ni sawa na asilimia 50 ya mapato. Akitoa elfu 3 ni sawa na asilimia 60, inamaana wewe ni mjinga kiasi hicho hujui hesabu rahisi kama hii?
Utaacha wangapiKwa mwanaume timamu akigundua mwanamke wake kaliwa nje ...anamuacha hapo hapo ...hawa wanaoumia ni kundi lingine linaloshangaza sana
Kama hautimizi majukumu mwanamke afanye nini? Ataosha vyombo ambavyo havijafanyiwa kazi msosi haujapikwa anaosha vipi!Hv mnakumbuka majukumu yenu au mnajua kudanga tuu
Majukumu ya nyumbani km kupika ,kufua ,usafi wa nyumbani yanawashinda . .ila kudanga ndo mnachoweza
Na date na size yangu mkuu. Wale ambao pesa sio shida yao. Wao wanachotaka ni uwepo wangu tu sio pesa au maliHao watoto utawapata bila papuchi? Au unayo ya akiba utakayo izalisha mwenyewe [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
all in all...tafuta PESA....kugongewa kwa 99% ni sababu ya ULOFA...Salaam wanajukwaa la Great Thinkers!
Nimekuwa nikifatilia kwa muda sasa maisha ya mahusiano ya wanawake wengi toka nikiwa mtaani, chuoni na hata makazini. Katika vitu nimegundua nikianzia na mitaani hasa huku uswahilini, wanawake wanashauriwa wawe na " mafiga matatu" ambao watawasaidia katika maisha yao, ambae ni mume, bwana wa kumkuna vizuri huko nje na bwana wa kumpa pesa. Huyu bwana wa pesa hapendeki, yeye kinachoangaliwa ni pesa yake tu. Lazima sifa yake iwe ni muhongaji mzuri. Haijalishi ni tajiri au masikini,kuhonga ni kipaji. (Hapa mimi siongelei kumpa mpenzi wako fedha ndogo ndogo za kujikimu, Naongelea kugharamika parefu ili upate mapenzi).
Vyuoni nako nikakuta taratibu tofauti za wanawake wa chuo wanavyoishi, nao Wana mafiga yao matatu, kuna boy friend anaetambulika, ambae ana sifa ya uhandsome na utanashati, na kuna yule mwanaume " joni kisomo" ambae yeye atatafutwa kwaajili ya "kufundisha" inapotokea masomo yanapokuwa magumu, na kuna "sugar daddy" ambae yeye kazi yake ni kutoa pesa za matumizi na za matanuzi..
Makazini nako kwa wanawake nikakuta taratibu tofauti tena, unakuta Kuna "boy friend", kuna jamaa wa mtaani ambae anajua kumnyoosha vizuri mpaka hazungushi kwake, na pia Kuna mtu wa kutoa pesa za kodi, salon, mavazi nk, huyu anaweza kuwa ni Boss wa hapo kampuni au sugar daddy lolote huko mtaani.
Sasa katika watu wote ninawahurumia katika makundi yote hayo ni wale wahongaji ambao ni kundi la tatu( wanaotoa pesa na vitu vya thamani ili wapewe penzi). Na mbaya zaidi ndo kundi linalogharamia zaidi, lakin mwisho wa siku wao ndo kundi linalodharaulika na kutokupendwa kutoka moyoni na wanawake. Yan hata hayo mapenzi yenyewe wanapewa kishingo upande upande bila ushirikiano wowote. Unakuta mwanamke anasema yaani simpendi yule baba, ni hela zake tu.
Kuhonga nako ni kipaji kama kipaji kingine, na kuhonga sio lazima mtu awe tajiri..unakuta mtu hana pesa lakin ni muhongaji mzuri, anaishi kwa kujinyima ili ahonge kumridhisha mwanamke. Kaka yangu alikuwaga ananiambia mwanaume masikini ndo anaongoza kwa kuhonga zaidi kuliko mwanaume tajiri, akasema kwamfano muendesha mkokoteni anaweza akachacharika mchana kutwa akapata sh elfu 5. Halaf kufika jioni akaenda akamhonga mwanamke sh. elfu 3 kati ya ile elfu 5 aliyopata, ambayo ni sawa na 60% ya alichokipata kwa siku hiyo. Na Tajiri kwamfano akapiga mishe yake kwa siku akapata milioni moja, jioni akamuhonga mpenzi wake laki moja, ambayo ni sawa na 10% ya alichokipata siku hiyo, akabaki na laki 9. Hivyo ukija kuangalia nani amehonga zaidi unakuta ni masikini ndo amehonga zaidi aliyehonga Asilimia 60 ya kipato chake.
Sasa kwa wanaume wengi kwanini huwa wahongaji wakubwa ni kwasababu ya kukosa skills za uhakika za kupiga miti. Mwanaume anaejua shuguli vizuri siku zote aidha yeye ndo ahongwe na mwanamke au awe anakula free. Mwanamke hayuko tayari kumpoteza mwanaume anaemkojolesha vizuri mpaka anaridhika. Ataomba hela kwa "sugar daddy" ili akale maisha na jamaa anaejua kumkuna,Tena kwa kulipia gharama zote za chakula, vinywaji na chumba ili apewe huduma maalumu.
Hivyo wanaume wenzangu tuwe makini, tujifunze " kupafom" ili tusiangukie kwenye kundi la wahongaji. Kila mwanaume akijitafakari kimoyomoyo atajua yeye yupo kundi gani.. Kuhonga ni uzezeta
Basi tulia mkuu hao wanaotaka kuhongwa achana nao wasikupe stress!Na date na size yangu mkuu. Wale ambao pesa sio shida yao. Wao wanachotaka ni uwepo wangu tu sio pesa au mali
Hao kama wapo ni 2% tu kwa sasa.....sana sana unagongewa na mwenye PESA...we unakula shombo tu mkuuNa date na size yangu mkuu. Wale ambao pesa sio shida yao. Wao wanachotaka ni uwepo wangu tu sio pesa au mali
hesabu ya jamaa ni ya kufikirika tu haina mantiki yeyote......demu anaangalia kiasi cha hela na siyo umeipataje......mambo ya asilimia sijui nini ni undeziNi lazima Mwanamke atampenda aliyempa 10% ya Hera yake regardless umeipataje???
Haina shida. Hata hao mnaowapa hela wanagongwa na wasio nacho. Shombo ni ile ile.Hao kama wapo ni 2% tu kwa sasa.....sana sana unagongewa na mwenye PESA...we unakula shombo tu mkuu
Hawanipi mbona mkuu. Nilichokisema mimi ni kuwa siwezi haribu hela yangu kwaajili ya kuhonga. Tafsiri yake kwangu ni kuwa nanunua uteleziBasi tulia mkuu hao wanaotaka kuhongwa achana nao wasikupe stress!
Haaa haa haa haya sawaHawanipi mbona mkuu. Nilichokisema mimi ni kuwa siwezi haribu hela yangu kwaajili ya kuhonga. Tafsiri yake kwangu ni kuwa nanunua utelezi
Yaah unapata mzee, ni vile tu si rahisi kupata ivo mala zote.Ni kweli kuwa huwezi pata huko mtaani uchi mpaka uhonge?
Tatizo ubongo wako umejaa hoaxSalaam wanajukwaa la Great Thinkers!
Nimekuwa nikifatilia kwa muda sasa maisha ya mahusiano ya wanawake wengi toka nikiwa mtaani, chuoni na hata makazini. Katika vitu nimegundua nikianzia na mitaani hasa huku uswahilini, wanawake wanashauriwa wawe na " mafiga matatu" ambao watawasaidia katika maisha yao, ambae ni mume, bwana wa kumkuna vizuri huko nje na bwana wa kumpa pesa. Huyu bwana wa pesa hapendeki, yeye kinachoangaliwa ni pesa yake tu. Lazima sifa yake iwe ni muhongaji mzuri. Haijalishi ni tajiri au masikini,kuhonga ni kipaji. (Hapa mimi siongelei kumpa mpenzi wako fedha ndogo ndogo za kujikimu, Naongelea kugharamika parefu ili upate mapenzi).
Vyuoni nako nikakuta taratibu tofauti za wanawake wa chuo wanavyoishi, nao Wana mafiga yao matatu, kuna boy friend anaetambulika, ambae ana sifa ya uhandsome na utanashati, na kuna yule mwanaume " joni kisomo" ambae yeye atatafutwa kwaajili ya "kufundisha" inapotokea masomo yanapokuwa magumu, na kuna "sugar daddy" ambae yeye kazi yake ni kutoa pesa za matumizi na za matanuzi..
Makazini nako kwa wanawake nikakuta taratibu tofauti tena, unakuta Kuna "boy friend", kuna jamaa wa mtaani ambae anajua kumnyoosha vizuri mpaka hazungushi kwake, na pia Kuna mtu wa kutoa pesa za kodi, salon, mavazi nk, huyu anaweza kuwa ni Boss wa hapo kampuni au sugar daddy lolote huko mtaani.
Sasa katika watu wote ninawahurumia katika makundi yote hayo ni wale wahongaji ambao ni kundi la tatu( wanaotoa pesa na vitu vya thamani ili wapewe penzi). Na mbaya zaidi ndo kundi linalogharamia zaidi, lakin mwisho wa siku wao ndo kundi linalodharaulika na kutokupendwa kutoka moyoni na wanawake. Yan hata hayo mapenzi yenyewe wanapewa kishingo upande upande bila ushirikiano wowote. Unakuta mwanamke anasema yaani simpendi yule baba, ni hela zake tu.
Kuhonga nako ni kipaji kama kipaji kingine, na kuhonga sio lazima mtu awe tajiri..unakuta mtu hana pesa lakin ni muhongaji mzuri, anaishi kwa kujinyima ili ahonge kumridhisha mwanamke. Kaka yangu alikuwaga ananiambia mwanaume masikini ndo anaongoza kwa kuhonga zaidi kuliko mwanaume tajiri, akasema kwamfano muendesha mkokoteni anaweza akachacharika mchana kutwa akapata sh elfu 5. Halaf kufika jioni akaenda akamhonga mwanamke sh. elfu 3 kati ya ile elfu 5 aliyopata, ambayo ni sawa na 60% ya alichokipata kwa siku hiyo. Na Tajiri kwamfano akapiga mishe yake kwa siku akapata milioni moja, jioni akamuhonga mpenzi wake laki moja, ambayo ni sawa na 10% ya alichokipata siku hiyo, akabaki na laki 9. Hivyo ukija kuangalia nani amehonga zaidi unakuta ni masikini ndo amehonga zaidi aliyehonga Asilimia 60 ya kipato chake.
Sasa kwa wanaume wengi kwanini huwa wahongaji wakubwa ni kwasababu ya kukosa skills za uhakika za kupiga miti. Mwanaume anaejua shuguli vizuri siku zote aidha yeye ndo ahongwe na mwanamke au awe anakula free. Mwanamke hayuko tayari kumpoteza mwanaume anaemkojolesha vizuri mpaka anaridhika. Ataomba hela kwa "sugar daddy" ili akale maisha na jamaa anaejua kumkuna,Tena kwa kulipia gharama zote za chakula, vinywaji na chumba ili apewe huduma maalumu.
Hivyo wanaume wenzangu tuwe makini, tujifunze " kupafom" ili tusiangukie kwenye kundi la wahongaji. Kila mwanaume akijitafakari kimoyomoyo atajua yeye yupo kundi gani.. Kuhonga ni uzezeta
Pamoja na yote hayo ndugu Kwa wasichana hawa wa 21st century jitahidi utafute pesa.Hata usipokuwa tajiri angalau uwe na chochote kile my friend pesa ni sabuni ya rohoSio kweli..labda kama haujui kutongoza. Ujasiri wa kutongoza huwa Ina define uanaume wako. Kutongoza ni art, mapenzi pia ni art. Kuna wengine hawajui kutongoza ( Domo zege) wanaishia kuhonga. Kuna wengine wanajua kutongoza, Wana maneno matamu,wanajua kumsifia mwanamke na kumchekesha chekesha mpaka anafurahi. Halaf jamaa akimpata huyo mwanamke anamuandaa, anazama chumvini, anamuandaa anampiga miti vizuri,anamkojoza, mapenzi ni sanaa halisi, ndo maana zamani wazee wetu walikuwa wanaenda jando, wanafundishwa namna ya kumhandle mwanamke na kuutawala mwili wake. Hivyo mwanaume anayejua mapenzi, mwanamke atampenda huyo mwanaume vibaya sana kuliko yule anaehonga Sana na hajui mapenzi. Mapenzi sio biashara. Hivyo kila mwanaume ajijue yeye yupo kundi gani
Aoshe hata k bhac kwa ajili ya mpambano [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Kama hautimizi majukumu mwanamke afanye nini? Ataosha vyombo ambavyo havijafanyiwa kazi msosi haujapikwa anaosha vipi!
Wote watakaochepuka wataachwa mara mojaUtaacha wangapi
Nani ameongelea kugongewa hapa? Mbona mnakazania Sana kugongewa..kwani kuna matajiri hawagongewi? Matajiri wanagongewa hadi na mahausi boyAll in
all in all...tafuta PESA....kugongewa kwa 99% ni sababu ya ULOFA...