Mwanaume kuhonga sana ni dalili kutokujiweza kitandani

Pamoja na yote hayo ndugu Kwa wasichana hawa wa 21st century jitahidi utafute pesa.Hata usipokuwa tajiri angalau uwe na chochote kile my friend pesa ni sabuni ya roho

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Nani amekuambia hatafuti pesa? Tatizo mnakimbilia suluhisho rahisi sana. Mi ndo maana nikatoa makundi matatu toka mwanzoni. Ninachomaanisha mwanaume anaejua sanaa ya mapenzi anaweza kuhonga ( kutunza) kwa unafuu zaidi kuliko mwanaume ambae hajui sanaa ya mapenzi, ataishia kuliwa hela zake tu. Kujua sanaa ya mapenzi ni muhimu kwa kila mwanaume, haijalishi una hela au hauna
 

Sio kweli, kuhonga ni “saana”, sio kila
Mwanaume anaiweza[emoji4]
 
Hao kama wapo ni 2% tu kwa sasa.....sana sana unagongewa na mwenye PESA...we unakula shombo tu mkuu
Mwambie hata wewe, hapo utasikia anajiweza sana kwenye mambo yetu lakini bahiri limao kipande tu kinatosha kilo ya nyama[emoji23][emoji23][emoji23] hivyo inabaki kumdangia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…