Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,357
Naona hatuelewani kaka yangu wewe ulisema je wakipewa kazi za kiume? ndio na mimi nikakujibu je na sisi tukiwapa kazi za kike ndio tukafikia huko kwenye kuzaa kama kazi mojawapo ya kike my dia.
Nikija kwenye ishu yako ya vocha sio kazi ya kike wala ya kiume hata mimi nikiwa na mpenzi akiishiwa wala sio ishu kumpa vocha hata pesa kama ninayo nampa. Turudi kwenye mada huyo kaka anaemzungumzia sweet dada sio mstaarabu hata kidogo msome vizuri wakiongea kidogo mara amwambie credit imeisha, mara nitumie vocha hata wewe unaetetea sidhani unaweza fanya hivyo. Huyo ni baadhi ya wanaume wanaojitokeza siku hizi wanaopenda kulelewa bila sababu za msingi, ikiwa hata wanaume wanakereka tukiwaomba vocha hovyo tena inawezekana akawa mpenzi wako kabisa je mwanaume inakuja?
Kama hatujaelewana hapo basi nimemwaga manyanga
kama ana hela za mawazo kwenye fone y ana call? c a2me sms tu....yaan hii ni gia ya kumkimbia vibaya sana...m delete kabisa...hapo mpo mwanzo mkiyaanza mapenzi itakuwaje? yaan sio wapenzi but ana kubomu mkiwa wapenzi itakuwaje?....eti sweet na wewe ulishawahi kumuomba voucher?