Mwanaume Kujiamini ni Silaha Tosha Kwenye Mahusiano

Mwanaume Kujiamini ni Silaha Tosha Kwenye Mahusiano

i feel sory for ur parents.....yaaani wamaehangaika kukusomesha alafu wee unaendakugawa papuchi kwa njemba hana mbele wala nyuma kama mche wa sabuni loh!
Wanaume mna mambo ya hovyo. Tukienda kwa mwenye hela mnapenda hela tukienda kwa maskini tunagawa papuchi kwa hohehahe. Mnatuchosha bwana embu chagueni moja mnataka tuwaje
 
Naam nataka amani tu kwa Watanzania wote bila kujali ni wa chama kipi, dini gani na kabila gani pia na maslahi ya nchi mbele kwa mbele.
Ewaaaaa
Hilo ndo lafanya nikupende zaidi, silalagi bila kuchungulia comments zako! Samahani kwa hilo
 
hahaha, kama unanisema mimi. nimeumbwa kumdekeza mwanamke kama mtoto mdogo, nikikutana na wewe nikikuzoea mara moja tu, hata siku moja, kama upo kwenye mahusiano itakuwia vigumu sana, ndio maana binafsi kwa muonekano sio handsome lakini wanawake niliodate nao ambao idadi ni kubwa sana, watu wanaonizunguka walikuwa wanashangaa napendewa nini. nafikiri Mungu kaniumbia icho kitu. wake za watu mara nyingi wananiambia wanatamani ningekuwa mume wao, lakin kwa sasa namdekeza tu my lovely wife mama watoto wangu, pamoja na kwamba hata wadada ninaofanya nao kazi aisee mimi tu nawakimbia nisijevunja nafsi ya mke wangu.
Huyo Mungu wako unaemsema ni wa ajabu kweli yani.....kakuumba kitombi
 
Kama kweli sema baadae dharau zitaanza kujitokeza

kujiamini kwa maneno matupu hakusaidii kitu ni temporary tu baada ya mda utachokwa aisee
Ni kweli mkuu, mapenzi bila pesa ni kama pilau isiyo na chumvi!
 
Wanaume huwa mnaamini mwanamke mwenye muonekano fulani hawezi kuwa na wewe. Kwa mfano mwenye kazi nzuri kukuzidi au mwenye mvuto unaohisi wewe humfai. Mnachokosea ni kwamba mwanamke akikupenda hata uwe muokopa makopo atakukubalia. Ukiwa unapiga sound usianze kutumia maneno ooh najua mimi sio level yako we mzuri sana wewe una kipato kunizidi wewe this wewe that blah blah. Nenda kwenye point sio kuanza kujilalamisha uonewe huruma. Mwanaume ukijiamini hata uweje utapata mwanamke unaemtaka. Kazi yako au muonekano wako hauhusiani na mapenzi yako.
Natamani huyu kaka alonipigia simu saa hizi asome hapa maana hata kama nilipanga kumkubali basi tena keshanikosa.
nimesoma nione uruma
 
Back
Top Bottom