[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo tunapoogopwaMi kauzu kweli mtu akinitongoza lazima awaze. Mtaani ndo kabsaaaaa maana sinaga habari ni mambo poa nimepita. Wanaishia kula kwa macho
[emoji23] jiamini tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani looh!kesho hatua mpya nyingine zaidiOne step at a time.
This is it today.
HahahaSakayo hana akili kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kabugi joAkikuchoka hajakupenda. Na sawa huna pesa au mwanamke mzuri kwanini ulete hayo wakati unatongoza? Ili uonewe huruma au kitu gani?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani looh!kesho hatua mpya nyingine zaidi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inzi kufia kidondani ama nin
Mi asili yangu tu sinaga mazoea mazoea na watu. Na nikimzoea mtu akijua akili yangu ilivyo mbaya atashangaa alivyokua ananiona na nilivyo baada ya kunijua watu wawili tofauti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo tunapoogopwa
Kwahiyo utaona wivu mchumba?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ushachelewa the Don na PM haifunguliwi ng'oo maana ilikua wazi for almost a year mpk nikasahau namna ya kufunga waliokuwemo wamoo!!It might not be tomorrow, lakini thanks God nimepata pa kuanzia.
Expect me soon, ngoja nikusanye resources zangu kwanza.
Sema nimefarahi pia kuona na wewe umefunga PM (you got a plus to this).