Mwanaume Kujiamini ni Silaha Tosha Kwenye Mahusiano

Mwanaume Kujiamini ni Silaha Tosha Kwenye Mahusiano

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ushachelewa the Don na PM haifunguliwi ng'oo maana ilikua wazi for almost a year mpk nikasahau namna ya kufunga waliokuwemo wamoo!!
Shunie Pm si nimefunga juzi kwa msaada wako eeehh![emoji23] [emoji23] [emoji23]

Unajidanganya, nikiamua ufungua mwezi ni mrefu.

Shunie huyo huyo atakwambia nifungulie.

Nakunsanya resources, sitaki kuweka nia halafu niachie jimbo, nikifika nabadili na katiba kabisa.
 
Mi asili yangu tu sinaga mazoea mazoea na watu. Na nikimzoea mtu akijua akili yangu ilivyo mbaya atashangaa alivyokua ananiona na nilivyo baada ya kunijua watu wawili tofauti [emoji23][emoji23][emoji23]
Kama Mimi vile yaani hao niliwazoea mpk wanashangaa the way navyochetuka nao!

Ila mazoea ya hovyoo hapana
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ushachelewa the Don na PM haifunguliwi ng'oo maana ilikua wazi for almost a year mpk nikasahau namna ya kufunga waliokuwemo wamoo!!
Shunie Pm si nimefunga juzi kwa msaada wako eeehh![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa msaada wangu ndugu mana alikuwa unalalamika vitoto vinavyokusumbua huko na makelele yao
 
Unajidanganya, nikiamua ufungua mwezi ni mrefu.

Shunie huyo huyo atakwambia nifungulie.

Nakunsanya resources, sitaki kuweka nia halafu niachie jimbo, nikifika nabadili na katiba kabisa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nakucheka kichinaaa!!!pole sana haifunguliwi

Naomba hizo data unazokusanya ziwe mbayaa umpate mbea akumbelike kisawasawa!

Na PM haifunguliwii!!!
Shunie PM sifingui hata unipeleke kwenye ofa ya mishikaki 100
 
Hii ni kwa wanawake pia ambao hawajiamini kwamba wanaweza kuwa na njemba mwenye muonekano au status A au B. Saa zote huwa na wasiwasi kwamba hapendwi na hata kuanza kujenga chuki dhidi ya KE wengine kisa tu ni
wasiwasi wake hao KE wengine wana mahusiano ya kimapenzi na mpenzi wake. KUJIAMINI KWENYE PENZI NI MUHIMU SANA.
Yalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] kama mimi tehteh nilikua najionaga kashamba kweli kakuja muulizeni Smart911

Cc Smart911
 
Back
Top Bottom