Kumsifia sawa ila sio kujilinganisha. Uanze unajua we mzuri mi sura yangu kama Masoud sura mbaya sijui kama utanikubali. Sasa hayo ya nini jamani.Jamani eti nakutana na mwanamke siku ya kwanza naanza tu kumwambia "nakupenda" bila hata kumsifia sifia jinsi alivyo eti kwa kuwa umesema niende kwenye point hiyo hapana
ngoja nika google nipate muongozo " how to start conversation with beautful girl ntapata nyingi tuu
Weeeee kitu pesaaa nani hataki pesaHata wanaojiuza hawakubali kila mteja
kweli wanaume wengi wanauhitaji kama Mimi so naomba ningeipata hiyo nafasi kwako niitumie kwa usahihiSawaa
Hahahahahaha.......wameshakuelewa.....Ila nitakualika siku moja kwenye kanisa langu (BREAST AND HONEY FELLOWSHIP INTERNATIONAL) ili uwaelimishe vijana coz siku hizi wanafelisha sana.Wanaume huwa mnaamini mwanamke mwenye muonekano fulani hawezi kuwa na wewe. Kwa mfano mwenye kazi nzuri kukuzidi au mwenye mvuto unaohisi wewe humfai. Mnachokosea ni kwamba mwanamke akikupenda hata uwe muokopa makopo atakukubalia. Ukiwa unapiga sound usianze kutumia maneno ooh najua mimi sio level yako we mzuri sana wewe una kipato kunizidi wewe this wewe that blah blah. Nenda kwenye point sio kuanza kujilalamisha uonewe huruma. Mwanaume ukijiamini hata uweje utapata mwanamke unaemtaka. Kazi yako au muonekano wako hauhusiani na mapenzi yako.
Natamani huyu kaka alonipigia simu saa hizi asome hapa maana hata kama nilipanga kumkubali basi tena keshanikosa.
so kama hutojari whatsap me +255715565621Sawaaa
Siendagi kiboya, ila nahisi huwa napitiliza maana inafikiaga muda ni kama interrogation ya gestapoJiamini tu kama mtu anakupenda atakukubali. Nenda kama mwanaume
poaSijari ntakuchek
Mbona unaguna?Mmmmmmmmh
Hivi kuna watu wa aina hii apa tz?Kumsifia sawa ila sio kujilinganisha. Uanze unajua we mzuri mi sura yangu kama Masoud sura mbaya sijui kama utanikubali. Sasa hayo ya nini jamani.
picha zako mbili kunogesha thread.Nani na nani?
basi ngoja nikupigie nianze na maneno kuntu au unasemaje ?Wanaume huwa mnaamini mwanamke mwenye muonekano fulani hawezi kuwa na wewe. Kwa mfano mwenye kazi nzuri kukuzidi au mwenye mvuto unaohisi wewe humfai. Mnachokosea ni kwamba mwanamke akikupenda hata uwe muokopa makopo atakukubalia. Ukiwa unapiga sound usianze kutumia maneno ooh najua mimi sio level yako we mzuri sana wewe una kipato kunizidi wewe this wewe that blah blah. Nenda kwenye point sio kuanza kujilalamisha uonewe huruma. Mwanaume ukijiamini hata uweje utapata mwanamke unaemtaka. Kazi yako au muonekano wako hauhusiani na mapenzi yako.
Natamani huyu kaka alonipigia simu saa hizi asome hapa maana hata kama nilipanga kumkubali basi tena keshanikosa.