Mwanaume Kujiamini ni Silaha Tosha Kwenye Mahusiano

Jamani eti nakutana na mwanamke siku ya kwanza naanza tu kumwambia "nakupenda" bila hata kumsifia sifia jinsi alivyo eti kwa kuwa umesema niende kwenye point hiyo hapana

ngoja nika google nipate muongozo " how to start conversation with beautful girl ntapata nyingi tuu
Kumsifia sawa ila sio kujilinganisha. Uanze unajua we mzuri mi sura yangu kama Masoud sura mbaya sijui kama utanikubali. Sasa hayo ya nini jamani.
 
Wanaume huwa mnaamini mwanamke mwenye muonekano fulani hawezi kuwa na wewe. Kwa mfano mwenye kazi nzuri kukuzidi au mwenye mvuto unaohisi wewe humfai. Mnachokosea ni kwamba mwanamke akikupenda hata uwe muokopa makopo atakukubalia. Ukiwa unapiga sound usianze kutumia maneno ooh najua mimi sio level yako we mzuri sana wewe una kipato kunizidi wewe this wewe that blah blah. Nenda kwenye point sio kuanza kujilalamisha uonewe huruma. Mwanaume ukijiamini hata uweje utapata mwanamke unaemtaka. Kazi yako au muonekano wako hauhusiani na mapenzi yako.
Natamani huyu kaka alonipigia simu saa hizi asome hapa maana hata kama nilipanga kumkubali basi tena keshanikosa.
Hahahahahaha.......wameshakuelewa.....Ila nitakualika siku moja kwenye kanisa langu (BREAST AND HONEY FELLOWSHIP INTERNATIONAL) ili uwaelimishe vijana coz siku hizi wanafelisha sana.
 
Mmmmmmmmh
 
mzigua kwa namna ulivyompiga mkwara aliyekubeep asubuhi asubuhi; nawaza utakuwa kwenye kundi gani hapa; mwenye shape nzuri? Mwenye kazi nzuri? Kipato kikubwa? Mwenye umbo nzuri?! Shule ya haja? Hebu tujuze! Ukisema shape/umbo nzuri weka picha yako tafadhali!
 
Wanaume huwa mnaamini mwanamke mwenye muonekano fulani hawezi kuwa na wewe. Kwa mfano mwenye kazi nzuri kukuzidi au mwenye mvuto unaohisi wewe humfai. Mnachokosea ni kwamba mwanamke akikupenda hata uwe muokopa makopo atakukubalia. Ukiwa unapiga sound usianze kutumia maneno ooh najua mimi sio level yako we mzuri sana wewe una kipato kunizidi wewe this wewe that blah blah. Nenda kwenye point sio kuanza kujilalamisha uonewe huruma. Mwanaume ukijiamini hata uweje utapata mwanamke unaemtaka. Kazi yako au muonekano wako hauhusiani na mapenzi yako.
Natamani huyu kaka alonipigia simu saa hizi asome hapa maana hata kama nilipanga kumkubali basi tena keshanikosa.
basi ngoja nikupigie nianze na maneno kuntu au unasemaje ?
 
Back
Top Bottom