Mwanaume Kujiamini ni Silaha Tosha Kwenye Mahusiano


Unajidanganya, nikiamua ufungua mwezi ni mrefu.

Shunie huyo huyo atakwambia nifungulie.

Nakunsanya resources, sitaki kuweka nia halafu niachie jimbo, nikifika nabadili na katiba kabisa.
 
Mi asili yangu tu sinaga mazoea mazoea na watu. Na nikimzoea mtu akijua akili yangu ilivyo mbaya atashangaa alivyokua ananiona na nilivyo baada ya kunijua watu wawili tofauti [emoji23][emoji23][emoji23]
Kama Mimi vile yaani hao niliwazoea mpk wanashangaa the way navyochetuka nao!

Ila mazoea ya hovyoo hapana
 
Kwa msaada wangu ndugu mana alikuwa unalalamika vitoto vinavyokusumbua huko na makelele yao
 
Unajidanganya, nikiamua ufungua mwezi ni mrefu.

Shunie huyo huyo atakwambia nifungulie.

Nakunsanya resources, sitaki kuweka nia halafu niachie jimbo, nikifika nabadili na katiba kabisa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nakucheka kichinaaa!!!pole sana haifunguliwi

Naomba hizo data unazokusanya ziwe mbayaa umpate mbea akumbelike kisawasawa!

Na PM haifunguliwii!!!
Shunie PM sifingui hata unipeleke kwenye ofa ya mishikaki 100
 
Yalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] kama mimi tehteh nilikua najionaga kashamba kweli kakuja muulizeni Smart911




Cc Smart911
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…