Mwanaume Kujiamini ni Silaha Tosha Kwenye Mahusiano

Hahaha... hujawahi kua mshamba mahondaw wangu...

Sometimes ni vile tu nikijumuika na wewe na rafiki zangu wengine...

Hahaha ati unaniulizaga... Smart911 hapa kweli hujakula hata demu mmoja kweli... daah jinsi walivyo...
Oops [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
Usimwambie mtuuuuuuuuuuuu
 
Usimshagae Mzigua90

Hata wewe mahondaw wangu juzi kati ulinifungia vioo kisa... hahaha... wacha nikae kimya... ila uzuri i know your weakness and i know how to deal with you mpaka ulegeze...
Hahahahaha... Usimwambie mtuuuuuuuuuuuu [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji87] [emoji87] [emoji87] acha tu nilipanga kuandamana si mchezo uzuri ulinisoma mapema.. Tehteh santo sana smart wamimi jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…