Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nakutania miye namkoti panapobidi ila mazoea na waume za watu big nooooooKhakhakhaaaaaaakhakhakakhaaaaaaa mquoti tu no problem mamaa!! saivi nishazoea mie mwanzo ndo niliteseka kweli kweli muulize hata mwenyewe Smart911
Siunajua Ile kujishtukia rafiki but thanks God he proved me wrong..
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23] nakutania miye namkoti panapobidi ila mazoea na waume za watu big noooooo
Wasi wasi ndo akili shogareee
Wanaume mna mambo ya hovyo. Tukienda kwa mwenye hela mnapenda hela tukienda kwa maskini tunagawa papuchi kwa hohehahe. Mnatuchosha bwana embu chagueni moja mnataka tuwaje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Don uko na beer ya ngapi
Hawana jema km ndugu wa mumeWanaume mna mambo ya hovyo. Tukienda kwa mwenye hela mnapenda hela tukienda kwa maskini tunagawa papuchi kwa hohehahe. Mnatuchosha bwana embu chagueni moja mnataka tuwaje
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kupendwa ndio hukuu
Hahaha... hujawahi kua mshamba mahondaw wangu...
Sometimes ni vile tu nikijumuika na wewe na rafiki zangu wengine...
Hahaha ati unaniulizaga... Smart911 hapa kweli hujakula hata demu mmoja kweli... daah jinsi walivyo...
Hahah eti umeshaanza sikia joto sisi si unatujua kama kawaida yetuNimekunywa heineken kadhaa naona haziondoi baridi, nimechukua JD nishaanza kusikia joto sasa.
Ila na nyie mmenipa kampani sana leo.
Woyooooooooo nakazia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kupendwa ndio hukuu
Kupendwa kuheshimiwaa[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
We endelea tu kulewa lewa sisi [emoji91][emoji91][emoji91]Nimekunywa heineken kadhaa naona haziondoi baridi, nimechukua JD nishaanza kusikia joto sasa.
Ila na nyie mmenipa kampani sana leo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] komaaa shogareeUmeona eeeeehh!! wapo wa kushare ila sio Smart911 [emoji87] [emoji87] [emoji87]
Ila huu wivu wa mzigua sijui wa nchi gani hata likes duhhhhhhhhhh [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Cc Smart911