Mwanaume Kujiamini ni Silaha Tosha Kwenye Mahusiano

Mwanaume Kujiamini ni Silaha Tosha Kwenye Mahusiano

Khakhakhaaaaaaakhakhakakhaaaaaaa mquoti tu no problem mamaa!! saivi nishazoea mie mwanzo ndo niliteseka kweli kweli muulize hata mwenyewe Smart911

Siunajua Ile kujishtukia rafiki but thanks God he proved me wrong..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nakutania miye namkoti panapobidi ila mazoea na waume za watu big noooooo

Wasi wasi ndo akili shogareee
 
Yalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] kama mimi tehteh nilikua najionaga kashamba kweli kakuja muulizeni Smart911

Cc Smart911

Hahaha... hujawahi kua mshamba mahondaw wangu...

Sometimes ni vile tu nikijumuika na wewe na rafiki zangu wengine...

Hahaha ati unaniulizaga... Smart911 hapa kweli hujakula hata demu mmoja kweli... daah jinsi walivyo...
 
I do love my smart mimi jamaniii wacha tu yani this man is killing mioooooooo

Cc Smart911
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kupendwa ndio hukuu

Kupendwa kuheshimiwaa[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Hahaha... hujawahi kua mshamba mahondaw wangu...

Sometimes ni vile tu nikijumuika na wewe na rafiki zangu wengine...

Hahaha ati unaniulizaga... Smart911 hapa kweli hujakula hata demu mmoja kweli... daah jinsi walivyo...
 
Ila huu wivu wa mzigua sijui wa nchi gani hata likes duhhhhhhhhhh [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]

Cc Smart911

Usimshagae Mzigua90

Hata wewe mahondaw wangu juzi kati ulinifungia vioo kisa... hahaha... wacha nikae kimya... ila uzuri i know your weakness and i know how to deal with you mpaka ulegeze...
 
Back
Top Bottom