Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Yaniiiiiii mpaka nilimwambiaga, Smart911 naomba uwakule tu kwakweli wewewewewewewewe smart alitaka kunipiga ngwala moja hio eti acha upimbi mahondaw.. Nilikimbiajee [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kuja kurudi badaeee akanikumbatia kwa nguvu kweli
Ndiwooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo mkashauriana mrudi jukwaani
Ungenipata mie lakini nakuwa muongeaji sana nikishapiga chupa zangu za kijaniSiku zote wale wanawake waongeaji ndio my type hata akiwa mlokole as long muongeaji!.. wale wapole nawapita maili 60 nyuzi 75° mbalii!!..
Unaongea na nani eti au na simuMungu anawaona
Hahhahahha nacheka sanaNdiwooo
We Cheka tuu akiHahhahahha nacheka sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shunie akili hunaaaUnaongea na nani eti au na simu
Kwakweli hiyo ni poor performanceWanaume huwa mnaamini mwanamke mwenye muonekano fulani hawezi kuwa na wewe. Kwa mfano mwenye kazi nzuri kukuzidi au mwenye mvuto unaohisi wewe humfai. Mnachokosea ni kwamba mwanamke akikupenda hata uwe muokopa makopo atakukubalia. Ukiwa unapiga sound usianze kutumia maneno ooh najua mimi sio level yako we mzuri sana wewe una kipato kunizidi wewe this wewe that blah blah. Nenda kwenye point sio kuanza kujilalamisha uonewe huruma. Mwanaume ukijiamini hata uweje utapata mwanamke unaemtaka. Kazi yako au muonekano wako hauhusiani na mapenzi yako.
Natamani huyu kaka alonipigia simu saa hizi asome hapa maana hata kama nilipanga kumkubali basi tena keshanikosa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We Cheka tuu aki
Hahhaha sio akili sina jamani naona haujamqoute mtu labda unaongea na simu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shunie akili hunaaa
HahhahahahhahaUkishaanza kutukanwa matusi ya kimahaba mahaba unajua king tayari.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] unajua nini..nilikua nacheki PM!!daah!nimecheka sana kumbe!!!kumbe nna umbea mwingi wa jf ila wa tbt loooohh!Hahhaha sio akili sina jamani naona haujamqoute mtu labda unaongea na simu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji1] ahsanteUkishaanza kutukanwa matusi ya kimahaba mahaba unajua king tayari.
Wooooooooozeeeeeer nitumie screenshot mie[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] unajua nini..nilikua nacheki PM!!daah!nimecheka sana kumbe!!!kumbe nna umbea mwingi wa jf ila wa tbt loooohh!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji1] ahsante
Nyau weee!
[emoji23] [emoji23] [emoji2] this friend of urs is insanee meeen!!!Hahhahahahhaha