Mwanaume Kujiamini ni Silaha Tosha Kwenye Mahusiano

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kupendwa ndio hukuu

Kupendwa kuheshimiwaa[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Hatarii [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
 
Kiukweli mm mwenyewe Nina tatizo na watoto wazuri Kuna company moja naendaga masaki Kuna visu vikali Sana na mm ni supplier so naishia kuwasifia Sana
Sifia sifia mwaya kama kuna aliekuelewa utaanza kujileta mwenyewe
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] komaaa shogaree

Makungwi tupoo!!usisite kulongaaa!!usione sooo!![emoji23] [emoji23] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]
Kimfaacho mtu chake
Teeena
 
Usimshagae Mzigua90

Hata wewe mahondaw wangu juzi kati ulinifungia vioo kisa... hahaha... wacha nikae kimya... ila uzuri i know your weakness and i know how to deal with you mpaka ulegeze...
Kumbe kanajiosha hapa na kenyewe kana wivu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Au anatongoza mwembamba afu anaanza kumwambia anenepe!sjui hakuona wanene![emoji3]
Wembamba hawaonelewi sana kama sisi wanene. Yani sisi wanene ndo tuna shida. Mmoja huyo alianza bby kama upungue hivi nikamwambia bby kwani wembamba hukuwaona huko unapopita pita? Aliishia kucheka [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…