Mwanaume Kujiamini ni Silaha Tosha Kwenye Mahusiano

Mwanaume Kujiamini ni Silaha Tosha Kwenye Mahusiano

Halafu niliweka pic kwa stts nikajua utachungulia mishkaki ni mitamu mama na ile salad yao woiiii
Ikatokea nikawepo weekend hii twende maana nampigiaga simu shoga angu nalalamika anitafutie mtu aniletee mishkaki maana mi kwenda kule mbali [emoji23][emoji23]
 
Tatizo nyotaaaaa!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hata salamu hawaulizwii!PM ziko wazi 24/7

Sasa kwa nini wasitumbue macho kwa vya watu
Mbona kama mnatuchamba tuso na mabeb humu?
 
upo sawa chief...lkn hilo la kwenda kwa mwanamke ukiSeek her sympath and pity ni kujishushia hadhi ya uanaume,

Wanawake mara nyingi ndio wanatumia hiyo technique, mwanaume ni mwanaume tu asee hata kama ni konda wa daladala ukimfata kiume lazima akuelewe hata kama hatokubali.
Kweli kweli. Ndo maana nakupenda bby wa zamani
 
Kwakweli hiyo ni poor performance
Amenikera hata mimi ameanzaje mtongozo wa kijinga namna hiyo
Si angekuja kwangu nimpe mashairi
Pole Mzigua90: huyo ni wale wanaume wenu wa dar[emoji2] [emoji2] [emoji2] njoo Katavi ukutane na wanaume wa ukweli
Mwanaume wa Dar kafeli sana.
 
Ni kweli....ila kuna wengine tunatongozwa bila kutegemea na ni raha kweli kutongozwa na mwanamke. Yaani utakuta mwanamke anakuwa na wasiwasi mpaka na wengine wanalia kwa kuhofia kukataliwa. Sijawahi kumkatalia mwanamke anayenitongoza ila natumia busara tu kuwasepa nisiowataka.
Utakua una kitu tunakipenda wewe.
 
Unapenda ofaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] miye akuuuuu!

Kwanza huyo atakuja kunifungulia uzi tu humu na hivi kibongee!
Kaniona kibonge mie kanistahi utakua wewe shoga???
 
[emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] acha looh!shoga sifuti PM kumbe nzuri hivi!!!!!ntakurushia best usikondee!!!!
Mwenyewe nataka niweke yangu wazi nile ubuyu [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom