Mwanaume Kujiamini ni Silaha Tosha Kwenye Mahusiano

Halafu niliweka pic kwa stts nikajua utachungulia mishkaki ni mitamu mama na ile salad yao woiiii
Ikatokea nikawepo weekend hii twende maana nampigiaga simu shoga angu nalalamika anitafutie mtu aniletee mishkaki maana mi kwenda kule mbali [emoji23][emoji23]
 
Tatizo nyotaaaaa!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hata salamu hawaulizwii!PM ziko wazi 24/7

Sasa kwa nini wasitumbue macho kwa vya watu
Mbona kama mnatuchamba tuso na mabeb humu?
 
Kweli kweli. Ndo maana nakupenda bby wa zamani
 
Kwakweli hiyo ni poor performance
Amenikera hata mimi ameanzaje mtongozo wa kijinga namna hiyo
Si angekuja kwangu nimpe mashairi
Pole Mzigua90: huyo ni wale wanaume wenu wa dar[emoji2] [emoji2] [emoji2] njoo Katavi ukutane na wanaume wa ukweli
Mwanaume wa Dar kafeli sana.
 
Utakua una kitu tunakipenda wewe.
 
Kaniona kibonge mie kanistahi utakua wewe shoga???
 
[emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] acha looh!shoga sifuti PM kumbe nzuri hivi!!!!!ntakurushia best usikondee!!!!
Mwenyewe nataka niweke yangu wazi nile ubuyu [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…