Unakuwa na aibu!?..Sasa ukinikita nina kilevi kadhaa si utanipenda wewe
Alichokiandika na ulivyomuelewa ni maji na mafuta by the way ndo uhalisia wa akili na uwezo wa kuelewaHii haina tofauti na wale wanaojiuza kama kila mwanaume anaekufuata akijiamini tu unamkubalia
Nakupenda pia [emoji4]Kweli kweli. Ndo maana nakupenda bby wa zamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mambo ya kuja pm mnaanza ooh picha sijui contact staki. Nakuja uniambie hiyo busyness.
[emoji23][emoji23][emoji23] shemmmm ukiwa huna hata kalaki hapo mfukoni hata nguvu za kutongoza unakua huna..[emoji23] [emoji23] hata confidence zinapotea
Hahahaha apunguze mafuta kidogo, unene sio mzuriBasi kama unajua sio level yako unamtongoza wa nini? Ina maana huoni unaolingana nao? Ndo yale yale mtu anatongoza mwanamke kibonge halafu anaanza kumwambia apungue wakati kuna wembamba kibao kawaacha
Siyo kwamba sina pesa, ya kukupa ndiyo haipoKwani hela ni nini? Na huna hela kiasi gani?