Mwanaume Kujiamini ni Silaha Tosha Kwenye Mahusiano

Mwanaume Kujiamini ni Silaha Tosha Kwenye Mahusiano

Nilisha miliki HR wangu kwa kujiamini tu, alikuwa anajikubali sana kwa ushapu wangu.

Mara nimpelekee matunda, mara nimsindikize shopping.

Mwisho wa siku tunapiga zetu wine nikatunukiwa kitumbua safi kabisaa.

Mtoto akawa addicted sana na mm, hata mshahara nikawa siutumii sana.

Nilikuja kuvuruga baada ya yeye kupekua simu yangu na kukuta nasakamwa na kikosi kizima cha yanga, kila mmoja anamalalamiko yake.
Na mapenz yakafa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaha apunguze mafuta kidogo, unene sio mzuri
Na sie tunapata wnaaotupenda na mafuta yetu jamani. Bora ninenepe nikiwa na wewe ila najinenepea zangu afu uje eti pungua chief ina maana hukuona wembamba huko walokuvutia
 
Wanaume huwa mnaamini mwanamke mwenye muonekano fulani hawezi kuwa na wewe. Kwa mfano mwenye kazi nzuri kukuzidi au mwenye mvuto unaohisi wewe humfai. Mnachokosea ni kwamba mwanamke akikupenda hata uwe muokopa makopo atakukubalia. Ukiwa unapiga sound usianze kutumia maneno ooh najua mimi sio level yako we mzuri sana wewe una kipato kunizidi wewe this wewe that blah blah. Nenda kwenye point sio kuanza kujilalamisha uonewe huruma. Mwanaume ukijiamini hata uweje utapata mwanamke unaemtaka. Kazi yako au muonekano wako hauhusiani na mapenzi yako.
Natamani huyu kaka alonipigia simu saa hizi asome hapa maana hata kama nilipanga kumkubali basi tena keshanikosa.
Khaaaaaaa

Mwanangu kuwa uyaone.
 
Nimeishi na kusoma area c, but now nipo chuga/ Moshi. Plenty memories there, mlimwa shule ya msingi, kiwanja cha ndege, uwanja wa vijana, huo mlima kwa Prime Minister nimeupanda sana before huo mjengo.
Tatizo Dom jua kali balaa, sasa hivi green nzurii, ngoja jua ipige.
 
Back
Top Bottom