Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
- Thread starter
- #1,001
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilisha miliki HR wangu kwa kujiamini tu, alikuwa anajikubali sana kwa ushapu wangu.
Mara nimpelekee matunda, mara nimsindikize shopping.
Mwisho wa siku tunapiga zetu wine nikatunukiwa kitumbua safi kabisaa.
Mtoto akawa addicted sana na mm, hata mshahara nikawa siutumii sana.
Nilikuja kuvuruga baada ya yeye kupekua simu yangu na kukuta nasakamwa na kikosi kizima cha yanga, kila mmoja anamalalamiko yake.
Na mapenz yakafa.