Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Hahahautakuwa umesingiziwa sehem si bure
Hata mtaani kwetu wapo mkuu, watu hawataki tuwasalimie shemeji zetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahautakuwa umesingiziwa sehem si bure
KhaaaaNini lakini jamani? Unaona nataka ntupie unanizibia ndugu
[emoji57][emoji57][emoji57]Anakuzingua mwaya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pm yangu haina madhara!!Siku pm zikifunguka yarab. Watu wema jukwaani ila sasaaa
Mie siwezi hizo mambo3 somes itakuwa poa LoL! Utamu wake si wa kawaida
Kheeeee dada ni wewe ndio unaandika au kuna mtu anakuandikiaSitaki ndugu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kachura kangu kakuvalia suruali tu
Ako na chura mkubwa sana yaan mpaka mwenyewe anamshindwaHivi rafiki ni kweli mzigua chura ipo au huwa mnanizingua tu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bora mm hata mkikutana na pm zangu hamtashangaa ujue tofauti na watakatifu wakina dada sakayoUnasema huyu Shunie kumbe pm ndo alivyo mwee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani BAK amenifanya nidate.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kufa hatakufa ila cha moto atakiona
Woiiiiiiiii [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ndo unikubalie sasa ombi langu. Mwenzio nikilala nakuota.
Ngoja siku nifurahi nitakutumiaRafiki nitumie hata picha basi ya hiyo chura jamani!
Mie siwezi hizo mambo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Basi ndugu naacha. Ukiachana nae namuomba basi