Mwanaume kujiliza liza kha!


Umeahidiwa Kubwa Nini mbonaa leo wajigonga sana kwa viumbe hawa??
 
soma hapo juu kwenye red kabla hujajibu post yangu kijana
Umeahidiwa Kubwa Nini mbonaa leo wajigonga sana kwa viumbe hawa??
 

Umenifanya nicheke tu mkimbizwambio, pole sana acha tabia hiyo kaka yangu mpenzi haipendezi unajishushia thamani kuomba omba
 
sarafina naye kamwaga ukweli hapa

sisi vijana wa zamani hatukuwa na hatuna na huenda hatutakuwa na tabia kama hizi za nyie vijana wa kisasa (masharobaro) kulia lia.
Ndo maana hii thread ilipoletwa tulishtushwa na ukali wa haya maneno..hatujazoea kusikia
 

Mahitaji mi ni mzazi wake?. Mkawachune hao wa mkoani. Sisi tunajua ugumu wa hiyo pesa, hatuchuniki. Ukishindwa wewe vua gamba.
 
Hivi Sarafina umemaanisha wanaume waliokimapenzi au hata mafriend kwa kawaida??

Dada mwanajamii One hapa hakuna cha mafriend wa kawaida wala wapenzi, hata wewe uwe na rafiki tu wa kike awe anajiliza liza utafurahia? si utamshangaa? sasa anakuja mwanaume kila siku kujiliza, mkimbizwa mbio kasema kuna mdada alimlilia shida jana akamkimbia, Na anadhani ni mimi) je mwanaume kumlilia mwanamke si ndio yachekesha zaidi mamy
 
sisi vijana wa zamani hatukuwa na hatuna na huenda hatutakuwa na tabia kama hizi za nyie vijana wa kisasa (masharobaro) kulia lia.
Ndo maana hii thread ilipoletwa tulishtushwa na ukali wa haya maneno..hatujazoea kusikia

Pole sana kijana wa zamani haya mambo yapo sana tu, ni vizuri walijua hilo hata watoto wako uwalee katika maadilia hayo hayo
 

Well said kaka ngabu yaani hii tabia waliyonayo wakome kabisa wote wanawake kwa waume inakera na kuudhi sana tu
 
Mahitaji mi ni mzazi wake?. Mkawachune hao wa mkoani. Sisi tunajua ugumu wa hiyo pesa, hatuchuniki. Ukishindwa wewe vua gamba.

Then umfuate mama yako umuoe na kuwa na uhusiano nae wa kimapenzi.....hakuna anayechuna hapa,tunachunwa na wapenda bure kama wewe.....maskini kama wewe nani akuchune,huo mlupo ulioenda kuuchukua barabarani usiokuwa na hela hata ya betri ya simu usitake kufanya ni kila mtu.....you are cheap ndo maana kwanza kakuomba vitu vya bei che.....wenye hela hawaombwi hela ya betri wala kodi za nyumba,wanaombwa wajenge/wanunue nyumba na kununua simu mpya bora zaidi.....ha ha ha haaaaaaaaaa....jibebe na umaskini wako,ukiona vyaelea ujue vimeundwa babu,we subiri kuundwa tu as hutaki kuunda!
 
hahahah@ sarafina1 kaja kivingine. Dada shida haina mwenyewe, nahisi huyo wako kama anapiga mzinga kila siiku ujue kaishiwa au kabanwa, anajua mpendwa wake uko kariibu nae. Ila sasa kama unamjua kuanzia huko mlikotoka alikuwa anakupiga mzinga basi mwambie aache tabia ya kukuomba kwa sababu hupendi.

kama ana shida na siyo kawaida yake kuomba basi msaidie shosti, hali yenyewe unaiona kila kitu doroooooo.
 
Wewee shika adabu yako, nani anajibaraguza?? Ngoja niulize kama nami huwa najiliza.....lol!!
Hehehehe leo mmenichekesha katavi bana
Hao watakuwa mashabaro tu! Toka lini mwanaume akalia kisa eti hana hela, tena mbele ya mpenzi.....hatujafundishwa hivyo katika jamii yetu!
Hapa sasa unaongea lol

Sio kuwa tumekuja juu, toa ushahidi kidogo japo kidogo. Kwetu mwanaume kulialia ni mkosi tena mbele ya mwanamke.....lol!!
Hata bila ushahidi my dia haya mambo yapo, nimefarijika kwamba hata wewe hupendi ni kujidhalilisha
 

Michelle umenifurahisha sana leo ni kweli sio mwanaume asiombe ila kuwe na kiasi jamani, unaomba omba mpaka kero
 
Usituletee mambo facebook humu..hapa ni ma great thinkers..we discuss relevant stuffs..politics,economics..e.t.c
 
wakiambiwa ukweli kelele moja kwa moja! Wapo sana . Hasa wakiona una franga kidogo ndio balaa . Gud Sarafina umepasua jipu

Hehehehe mi leo nimecheka mpaka basi, sarafina kawaweza sana mariooooooooooo leo
 

Sijasoma posti zote.
Sarafina1....wondering kama umeliliwa....

 
Vipi mama umetendwa nini au jamaa limekukamua mapene?
 
Usituletee mambo facebook humu..hapa ni ma great thinkers..we discuss relevant stuffs..politics,economics..e.t.c

Hahahahaha mko wengi cheki na hilo pozi lako hapo limekaa kisharobaro zaidi, unataka politics, na economics mmu! umepotea njia hapa ni mapenzi na mahusiano tu mpendwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…