Mwanaume kujiliza liza kha!

Mwanaume kujiliza liza kha!

Hii tabia inakera na kuchosha pia. Nashindwa kuelewa ni nini kimewapata wanaume siku hizi kha!!!

Mimi imenitokea jana kuna rafiki tulizoea kukaa wote baa/club/hotel nk yeye alikuwa hawezi kuchangia bill kwa asilimia 100 nikawa namsaidia juzi nipo mtaani nikamuona anatembea nikampigia simu kha nilichoka hata salamu hana eti duh afadhali uninunulie bia mbili nilichoka na kukata simu.

Sio siri MNABOAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA SIO WOTE LKN
 
Hii tabia inakera na kuchosha pia. Nashindwa kuelewa ni nini kimewapata wanaume siku hizi kha!!!

Mimi imenitokea jana kuna rafiki tulizoea kukaa wote baa/club/hotel nk yeye alikuwa hawezi kuchangia bill kwa asilimia 100 nikawa namsaidia juzi nipo mtaani nikamuyona anatembea nikampigia simu kha nilichoka hata salamu hana eti duh afadhali uninunulie bia mbili nilichoka na kukata simu.

Sio siri MNABOAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA SIO WOTE LKN
Nyie mnajuana mmeishazoeshana
 
Vituko haviishi duniani... Serengeti boy wako leo unamuita mwanaume... Kama tangu mwanzo ulimwambia unaweza kumuhudumia ila unachohitaji ni penzi lake tu kwa nini leo unalalamika??? Na si ajabu ukitoka hapa utaenda kumlegezea sauti na kubana pua lol...
 
Then umfuate mama yako umuoe na kuwa na uhusiano nae wa kimapenzi.....hakuna anayechuna hapa,tunachunwa na wapenda bure kama wewe.....maskini kama wewe nani akuchune,huo mlupo ulioenda kuuchukua barabarani usiokuwa na hela hata ya betri ya simu usitake kufanya ni kila mtu.....you are cheap ndo maana kwanza kakuomba vitu vya bei che.....wenye hela hawaombwi hela ya betri wala kodi za nyumba,wanaombwa wajenge/wanunue nyumba na kununua simu mpya bora zaidi.....ha ha ha haaaaaaaaaa....jibebe na umaskini wako,ukiona vyaelea ujue vimeundwa babu,we subiri kuundwa tu as hutaki kuunda!

Na wewe mfuate baba yako aku do. Sisi ni wagumu wa mjini. Tunakutumia na kukuacha. Nazidi kusisitiza mi sio mzazi wako, ni boyfriend wako. Na kwa mtindo huo na tabia hii ya kupenda kuhudumiwa na wanaume mtabaki kuwa madungayembe. yaelekea unaishi mjini kwa kuhongwa.
 
dah hyo anabwana wa kuliallia hana lolote ila jf hayupo mbn nyie mwalialia na shida zenu
 
Wanaume mnaojiliza liza kama wanawake mnaboa sana, mnapiga mizinga kiasi kwamba mmetuzidi mpaka wanawake, mwanaume kama huna hela unatakiwa uonyeshe kwa vitendo na si kujiliza liza kama mmama, jikaze wewe mtoto wa kiume. Uko wapi uanaume wenu? mwakera sana ati

Unajua hata kile kitendo cha kulialia kama unavyodai ni kazi kubwa sana, hivyo si ajabu mtu kama huyo kumsaidia tu kama unania, mtu mkweli humwambia mhusika live kama inakukera make kuwa mwanamke si kigezo pia cha kujilizaliza.Hivyo Misemo kama HAKI SAWA AU WOMEN EMPOWERMENT iweze kuwa na uhalisia na si maneno tu. NUKUU; ukimwona mtu analia kapigwa usiwe mwepesi kumwadhibu yule aliyempiga bali tambua kwanza sababu za kupigwa kwake pengine we mwenyewe naweza kumwongezea adhabu kuwa anasitahili yaan kwamba yeye ndo mwenye tatizo.
 
Na wewe mfuate baba yako aku do. Sisi ni wagumu wa mjini. Tunakutumia na kukuacha. Nazidi kusisitiza mi sio mzazi wako, ni boyfriend wako. Na kwa mtindo huo na tabia hii ya kupenda kuhudumiwa na wanaume mtabaki kuwa madungayembe. yaelekea unaishi mjini kwa kuhongwa.

ha ha ha ha,jazba zitakuua....mimi baba yangu alijitahidi sina ugumu wa maisha,zaidi Mungu kanijalia kukutana wa wanaume wasio lia ovyo....si ka wewe unalalamika kuombwa hela ya betri tu.....sina ugumu wala sijawahi kuuona ugumu wa maisha na zaidi ya baba yangu sikumbuki lini nimetunzwa na mwanaume....nakumbuka kutunza!
nungayembe wamebaki hao unaokutana nao,si tushajaliwa,tunashukuru Mungu...mjini tunaishi kwa kutoa shukrani kwa Mungu kwa aliyotukirimu!
 
wanaume kulia ni sawa kama ilivyo kwa wanawake-wote wanakuwa na emotions tu! kama mnaona wanaume wasilie basi na wanawake pia wasifanye hivyo yote haipendezi kwa jinsia nyengine,mtoa mada ungekuja na title tabia ya kulia lia huipendi tungekuelewa sababu ipo kwa jinsia zote mbili ila kuwalenga wanaume pekee unaonekana una ishu zako binafsi cha kushangaza wadada wamekuja kukusuport as if ni si sawa mwanaume kulia ila mwanamke ni sawa?:yawn:
 
????????? Punguza jazba pia.
ha ha ha ha,jazba zitakuua....mimi baba yangu alijitahidi sina ugumu wa maisha,zaidi Mungu kanijalia kukutana wa wanaume wasio lia ovyo....si ka wewe unalalamika kuombwa hela ya betri tu.....sina ugumu wala sijawahi kuuona ugumu wa maisha na zaidi ya baba yangu sikumbuki lini nimetunzwa na mwanaume....nakumbuka kutunza!
nungayembe wamebaki hao unaokutana nao,si tushajaliwa,tunashukuru Mungu...mjini tunaishi kwa kutoa shukrani kwa Mungu kwa aliyotukirimu!
 
hehehehe mapenzi ya uswahilini bana! yaani wakati date za faifu star watu wanagombania kila mtu kulipia huduma, hizi date za uswahilini wazembe wanalia na wengine wanalalamika. khaaaa! hivi lini mtahama uswahilini?
 
Khaa!! mbona watu wamekuwa wakali hivyo!! Wanaume wanaopiga mizinga wapo kama ambavyo na wanawake wanavyopiga mizinga tuu. Hii tabia inakera sana.
 
ha ha ha ha,jazba zitakuua....mimi baba yangu alijitahidi sina ugumu wa maisha,zaidi Mungu kanijalia kukutana wa wanaume wasio lia ovyo....si ka wewe unalalamika kuombwa hela ya betri tu.....sina ugumu wala sijawahi kuuona ugumu wa maisha na zaidi ya baba yangu sikumbuki lini nimetunzwa na mwanaume....nakumbuka kutunza!
nungayembe wamebaki hao unaokutana nao,si tushajaliwa,tunashukuru Mungu...mjini tunaishi kwa kutoa shukrani kwa Mungu kwa aliyotukirimu!

una umri gani?
 
una umri gani?
kamanda usisumbuke kabisaaaa. Hii sredi inawakilisha kilio cha dhiki zinazowakumba wabongo na sio zaidi ya hapo. Yaani huo mkaka unalia na kupiga mzinga kwasababu ya dhiki na hii sarafina pia imeanzisha sredi kwasababu inapigwa mizinga na haina cha kutoa. narejea tena, kama nyote wawili mambo yenu ni safi kimaisha infact mnaenjoy kabisa kulipia huduma na kila mmoja anagombania alipie yeye, nekst time nikimtoa shemeji yenu out nitawaalika mkuje kushuhudia, sio sredi za dhiki mnaanzisha kwenye jukwaa la mahusiano.
 
umasikini? ...taabu sana hii kitu..
 
Mwanaume anayempiga mzinga mwanamke si mwanaume huyo! 'Baby go n' spoil your self' anakushikisha black card. Huyu ndio mwanaume, tena hasubiri uombe. Mwanaume anatakiwa akimuangalia mkewe/mpenziwe usoni ajue tatizo liko wapi na kufanikisha kama sio kutekeleza the soonest possible.

Endeleeni kulia.
 
Well said! Thank you
 
kamanda usisumbuke kabisaaaa. Hii sredi inawakilisha kilio cha dhiki zinazowakumba wabongo na sio zaidi ya hapo. Yaani huo mkaka unalia na kupiga mzinga kwasababu ya dhiki na hii sarafina pia imeanzisha sredi kwasababu inapigwa mizinga na haina cha kutoa. narejea tena, kama nyote wawili mambo yenu ni safi kimaisha infact mnaenjoy kabisa kulipia huduma na kila mmoja anagombania alipie yeye, nekst time nikimtoa shemeji yenu out nitawaalika mkuje kushuhudia, sio sredi za dhiki mnaanzisha kwenye jukwaa la mahusiano.

mkuu kabla ya THANKS kuharibiwa ni T.F ndo alikuwa anakuzidi kwa ku-give out THANKS generously kuliko ku-receive

hawa ma-mods sijui watarudisha lini kile kitufe ..ningekugongea hapo
 
Back
Top Bottom