Kaka Mpendwa
JF-Expert Member
- Jan 10, 2008
- 772
- 415
Moja ya jukumu langu kubwa ni kuhakikisha mweza wangu anawekeza. Kuhakikisha anajua na kuweza kumanage wallet yake kwa sababu najua kabisa riziki leo kwako kesho kwa mwenzio. Ukiwekeza unajiepusha na mengi.
Nitasaidia kwa mapenzi (ugonjwa, dharura) lakini sio kama vile ni wajibu wangu kuhakikisha chumvi ipo. Akinipiga mzinga, (na huwa anafanya hivyo) mara moja moja ni acceptable. Lakini isiwe kawaida. Na anajua akinipiga mzinga ananipiga wa nguvu, lakini anajua hadi miezi sita au mwaka uishe ndio ataweza kunipiga mzinga mwingine. Mimi vile vile.
hiyo ni nzuri kwa msimamo wako. I hope kuwa mume wako ni muelewa wa kile unachokiamini..