Baada ya kupata Doctorate Chuo Kikuu ulifaulu kwa njia ipi masomo yaliyofundishwa kiingereza na kufaulu kivipi kuwa mwalimu miaka zaidi ya 11 chuoni? Rais Magufuli: Kwani kusoma ni kujua Kiingereza?
Umemuelewa lakin? Tusikidharau kiswahili kwasababu ya kingereza...na hata nafasi za kazi sahivi wanaoomba kwa lugha ya kingereza ni kuanzia wenye diploma wale wa vyeti huandika barua zao me kiswahili tu