Mwanaume kujitetea

Mwanaume kujitetea

Umemuelewa lakin? Tusikidharau kiswahili kwasababu ya kingereza...na hata nafasi za kazi sahivi wanaoomba kwa lugha ya kingereza ni kuanzia wenye diploma wale wa vyeti huandika barua zao me kiswahili tu
 
Ngoja waje watetezi wake, Kiingereza chake ni cha aina yake, ila nisimcheke maana hata mimi Kiingereza kinanisumbua sana
 
Back
Top Bottom