mose moses
Member
- Jan 31, 2017
- 46
- 23
Mwanaume kukojoa maji badala ya spam/mbegu shida ni nini? Au uume unagoma kabisa kusimama nini tatizo kwa wanaume.
Tafadhali wenye hekima mnahusika.
Tafadhali wenye hekima mnahusika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanaume kukojoa maji badala ya spam/mbegu shida ni nini? Au uume unagoma kabisa kusimama nini tatizo kwa wanaume.
Tafadhali wenye hekima mnahusika.
ahaaaaaaDuuuh hizi mada ni kila siku sema inachangiwa na stress za kukosekana kwa hela tanzania
umezionaje sperm mkuu!!? maana sperms ni microscopic... sema labda unakojoa 'maji' badala ya 'semens'. Sawa bwana mdogo!Mwanaume kukojoa maji badala ya spam/mbegu shida ni nini? Au uume unagoma kabisa kusimama nini tatizo kwa wanaume.
Tafadhali wenye hekima mnahusika.
Mwambie aende akawaone seedco wataalamu wa mbegu kwa ushauri zaidiMwanaume kukojoa maji badala ya spam/mbegu shida ni nini? Au uume unagoma kabisa kusimama nini tatizo kwa wanaume.
Tafadhali wenye hekima mnahusika.
kama anakojoa spam/ mbegu huyo ni mgonjwa anatakiwa kuwahi hospitali haraka, mtu anatakiwa kukojoa mkojo tu, sio zaidi ya hapo.Mwanaume kukojoa maji badala ya spam/mbegu shida ni nini? Au uume unagoma kabisa kusimama nini tatizo kwa wanaume.
Tafadhali wenye hekima mnahusika.
Utakuwa umelogwaMwanaume kukojoa maji badala ya spam/mbegu shida ni nini? Au uume unagoma kabisa kusimama nini tatizo kwa wanaume.
Tafadhali wenye hekima mnahusika.
Zifuatazo zinaweza kuwa sababu.Mwanaume kukojoa maji badala ya spam/mbegu shida ni nini? Au uume unagoma kabisa kusimama nini tatizo kwa wanaume.
Tafadhali wenye hekima mnahusika.
Ahaaaaa ahaaaa hiyo inawwza kuwa sahihiZifuatazo zinaweza kuwa sababu.
1.Umepiga sana puchu
2.Huli vyakula vizuri(hasa protini na matunda)
3.Hunywi maji ya kutosha
3.Una stress
4.Mazoezi hufanyi...hata kuruka kamba tu ni mazoezi
.....hapo usipojitathmini lazima ukojoe upepo na jamaa alale doro.
HahahhaaSababu ya kushindia maji af unaingia mchezoni