Mwanaume kukojoa maji badala ya spam /mbegu shida ni nini?

Mwanaume kukojoa maji badala ya spam /mbegu shida ni nini?

Ukiona mwanaume anakojoa maji na huwa akisha kojoa msichama akisimama maji ayanateremka hadi miguuni, basi ujue ana stress na hali chakula vizuri anakunywa sana, mdudu usiposimama huenda ana stress kuna mambo flani yanamsumbua sana kichwani haja settle ila ukimuona utafikiri hana kiti kinacho msibu ndio maana anashindwa kusimamisha mara kwa mara, akiwekwa sawa kwa kulishwa ugali mara nyingi na ashibe kabisa na awe na mtu wa kumpa furaha muda mwingi kunfanya asahau amaweza aka regain na kuanza kutoa spam nzito
 
Dalili za tezi dume...pamoja na sperm kutoa harufu mbaya na Kali mno.
Sperm kutoa harufu mbaya inategemea kwanza lazima ukague vizuri kama kweli ni sperm zako au za kike unazisikia wakati gani wakati wa kufua kutambaa au unasikia harufu kabla huja kojoa au baada ya kukojoa lazima ujibu ili tuendelee na mjadala
 
Mkuu umesema baada ya kupiga bao mwanamke akisimama shahawa zinamteremka miguuni,kwani shahawa zinabaki ndani?Mi nijuvyo na nionavyo huwa zinashuka miguuni
 
Mwanaume kukojoa maji badala ya spam/mbegu shida ni nini? Au uume unagoma kabisa kusimama nini tatizo kwa wanaume.

Tafadhali wenye hekima mnahusika.
Utakuwa una upungufu wa mbegu zako za kiume. Nitafute mimi nipate kukutibia.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Nakubali, kukosekana kwa mvua Tz kumeleteleza matatizo kisaikolojia jamani. Dah! Hebu tuone, haya matone yaloshuka juzi kati kwaweza badili muelekea kwani tulipokuwa tunaelekea siko. Mtu amefika mahali pa kukojoa spam!! Dah!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] ni xhida
 
Mwanaume kukojoa maji badala ya spam/mbegu shida ni nini? Au uume unagoma kabisa kusimama nini tatizo kwa wanaume.

Tafadhali wenye hekima mnahusika.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] labda kama ana psychological problems yawezekana uume ukashindwa kusimama au kama ana infections katika via vyake vya uzaz
 
Back
Top Bottom