N ntuchake JF-Expert Member Joined Apr 17, 2024 Posts 408 Reaction score 1,549 Jul 13, 2024 #1 Mwanaume hakuumbwa kulelewa. Mwanaume ukikubali mwanamke akulee unajidhalilisha na utadhalilishwa utake usitake. Wanaume tafuteni vyenu acheni kupenda mteremkoo. Muoneni mwenzenu alivyodhalilishwa! Kwa kuangalia hii video unajua tu kua huyo bidada ndo anamlea jamaa! Nimemuone huruma huyo kaka. Jamani mkichokana achaneni kwa uzuri tu haina haja ya kudhalilishana sijui tuvumiliane matokeo yake mnadhalilishana tu. Your browser is not able to display this video.
Mwanaume hakuumbwa kulelewa. Mwanaume ukikubali mwanamke akulee unajidhalilisha na utadhalilishwa utake usitake. Wanaume tafuteni vyenu acheni kupenda mteremkoo. Muoneni mwenzenu alivyodhalilishwa! Kwa kuangalia hii video unajua tu kua huyo bidada ndo anamlea jamaa! Nimemuone huruma huyo kaka. Jamani mkichokana achaneni kwa uzuri tu haina haja ya kudhalilishana sijui tuvumiliane matokeo yake mnadhalilishana tu. Your browser is not able to display this video.
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 38,283 Reaction score 97,793 Jul 14, 2024 #2 Huyo dada hata kama anamlea mtu anayo changamoto ya afya ya akili. Kulelewa kubaya sana, kuna ya bongo mdada wa oman vs frank kwa kiredio, ni aibu.
Huyo dada hata kama anamlea mtu anayo changamoto ya afya ya akili. Kulelewa kubaya sana, kuna ya bongo mdada wa oman vs frank kwa kiredio, ni aibu.
mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 42,209 Reaction score 51,004 Jul 14, 2024 #3 Umemuonea huruma huyo mkaka?wewe ni mwanamke au mwanaume?
Mlundilwa Jr JF-Expert Member Joined Dec 11, 2019 Posts 3,187 Reaction score 4,857 Jul 14, 2024 #4 Tunakula kula kunywa na kuvaa siku zinaenda kila siku tunajirusha, utatuambia nini wewe mbeba zege
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 96,456 Reaction score 156,324 Jul 15, 2024 #5 Marioos na viben10 mnaitwa huku. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nkolandoto JF-Expert Member Joined Sep 18, 2016 Posts 4,102 Reaction score 4,028 Jul 15, 2024 #6 Huyu alikuwa wa ngumi moya tu 🤣