..mtu makini ngono ni tendo tu lakutimiza human nature, lakini sio unakwenda kuoga bafuni na kuvaa nguo za sikukuu kwenda kuwinda mabinti,.
Tatizo haujui hata upo kwenye jukwaa gani. ni usalama gani unaopatikana kwa kuowana? hakuna wanandoa wenye maambukizi ya ukwimwi?Uzinzi tu. Hakuna zaidi. Oaneni muishi kwa usalama.
Fafanua Mkuu..

ingekuwa hivyo basi mapenzi yangekuwa ya wanaume tu.
Watu wenye tabia za kipuuzi kama hizo huwa wana end up poverty.

Hapa nimecheka sana mkuu. Nakumbuka nina rafiki yangu (natumai atakua amebadilika miaka hii) mwishoni mwa miaka ya 1990 na mwanzoni mwa miaka ya 2000 kazi yake ilikua ni moja tu: kufukuzia mademu. Aisee na alikuwa anawapanga si mchezo. Tulikuwa twajiuliza anawaeleza nini wadada wale hadi wanamkubali. Cha kushangaza zaidi wote wadada walikua wanamzidi status za kiuchumi kwa maana ya kwamba walikua wanatoka katika familia ambazo ni middle class wakati jamaa yetu kwao ni pangu pakavu. I hope nowadays ni responsible man
Nikiyasoma kwa makini maandishi yako inawezekana mwanaume wa kumeet requirement zako ni kama vile bado hajazaliwa, na kila nikirudi rudia kusoma hao wote kwenye hayo makundi matatu bado hakuna anaekufaa!Haya ngoja niwaambie inavyokua japo sio lazima iapply kwa wadada wote maana hatufanani.
Kuna wadada ambao tangu tunakutana na mtu mara ya kwanza tunajua automatically kwamba huyu hata anitongoze vipi siwezi kumkubalia. Hapo hata nikija gundua baadae ni mtoto wa fisadi fulani...ana sijui kitu gani...anaishi sijui namna gani...ana mapenzi sijui debe ngapi bado siwezi kumkubali kwasababu my automatic match making ability imeshamkataa bila hata mimi kufikiria.
Alafu kuna wale ambao AMMA (automatic match making ability) yangu inakua imemkubali ila kuna vitu viwili vitatu ambavyo mimi sivipendi kuhusu yeye au nisingependa mpenzi wangu awe navyo.Huyu akinitokea ntamkatalia huku nikifikiria kwamba kama isingekua kitu fulani labda tungefaana.
Mwisho ni wale ambao wanakubalika na both AMMA na mimi mwenyewe.Huyu hata nikigundua kwamba hana pesa...labda ana mtoto...na vitu vingine vidogo vidogo ambavyo vinaweza kuonekana ni -ve kwa watu wengine sitojali...yale matatizo makubwa makubwa tu ndo yanaweza kuzui nisitake mahusiano nae ila ntakua namkubali kwamba anafaa..So huyu akinitokea nikiwa sina mtu na moyo wangu nao ukaunga mkono hoja ananipata.
Ujanja pekee unaoweza kuinfluence maamuzi yangu kwa huyu wa kwenye kundi la tatu ni ustaarabu...uelewa...ajue anachokifanya na sio anakurupuka...awe anajielewa and so so.Maana kuna vitu vingine siwezi kuvumilia na muda wa kuhangaika kumbadili mtoto wa mtu mwingine sina.
Hao wengine ntakua nalazimisha tu.....
Nikiyasoma kwa makini maandishi yako inawezekana mwanaume wa kumeet requirement zako ni kama vile bado hajazaliwa, na kila nikirudi rudia kusoma hao wote kwenye hayo makundi matatu bado hakuna anaekufaa!
Hapo mimi nimechoka mwenyewe.

Mbona wapo wa kutosha kabisa...uzuri ni kwamba siangalii vitu vikubwa sana...!!!
umeolewa ww? Kwa kiswhili: are u occupied?
Si umjibu tu jamani hata kama ni concubine!!Mhhh kwanini wataka kujua?!

Mhhh kwanini wataka kujua?!
nataka kujaribu bahati yangu
Ni nini kilichokuvutia?.......... Avatar!

nataka kujaribu bahati yangu